Mimi siangalii kuzidiwa uwezo naangalia utamuPole kijana amekuzidi uwezo achana naye
Kwanini usimtumie ujumbe basi?First year kwenye mapenzi yes. I love her. Aliacha alama kubwa Sana kwenye moyo wangu. Am still in love with her.
Mapenzi upofu
Muda wote huo 2007 wengine ndo tunakimbia shule za msingi muoe anaona unampotezea mda muoeNimeanza nae mahusiano tangu tupo first year 2007. Mahusiano yetu na huyu mwanamke ni on and off.
Ila I still love her. I can't lie to my heart
Usiache kumnyonya puru.Mimi siangalii kuzidiwa uwezo naangalia utamu
Mpe darasa mkuu, tutamkosa huyu kijana.Kiufupi huwezi ishi bila yeye? Ndiyo hakutaki, jiue tu kilichobaki. Ilitakiwa umcheck hukohuko ujue kama kisha ku unblock. Ndiyo maana unaona watu wanakujibu majibu yasiyoeleweka.
Tatizo hii nchi imekua ngumu sana, na haya yote ni sababu ya hiki chama...😑Sijauliza swali hilo mkuu. Wa bongo ndo maana mnafeli. Soma swali Elewa swali jibu swali
Kijana kachanganyikiwa na pis imesha tambua hilo na ndio maana anachezewa shere...🤣🤣SIMP, kama umemmisi si utafute njia umcheki kuliko hiyo ya kuotea kama amekuunblock.
Yaani pisi ishajua hili zoba lazima lipate tabu, kakulamba bloku na kweli umewehuka kila dakika kucheki no yale whatsapp.
inaelekea leo haujaenda kazini!!Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe.
This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp".
But kwenye profile still bado hakuna picha yake.
Watalaamu wa WhatsApp hivi unaweza kuona " Hi there am using WhatsApp " Kwa mtu ambae ame kublock?
subiri ipo siku utajinyonga!!Nimeanza nae mahusiano tangu tupo first year 2007. Mahusiano yetu na huyu mwanamke ni on and off.
Ila I still love her. I can't lie to my heart
Omba msamaha hapo mkuuNope i still love her. Ni mtamu kichizi. Halafu huwezi amini mahusiano yetu Mimi na ye ye ni on and off since tupo wote chuo at hill ( 2007)
Ni mnyankole. Mtusi wa Uganda
Do u know something called " ego"?Kwanini usimtumie ujumbe basi?
Utamu bila akili ni wehuMimi siangalii kuzidiwa uwezo naangalia utamu