Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Show the character of a gentleman. Kama ulivyosema kuwa unaishi vizuri na watu hata yeye ni mtu pia. KAMA UNA UWEZO WA KUMSAIDIA MSAIDIE ILA SI KWA MANUFAA YAKO. YAANI MSAIDIE HATA KAMA HUNA NIA YA KUMRUDIA.

You never know your tomorrow. So don't set barriers.
 
Ushauri mzuri ila ulitakiwa kutolewa kuanzia miaka ya 1990 kurudi nyuma. Hawa wa kuanzia miaka ya 1990 kuja leo tunadeal nao kiume kama vile wao wanavyodeal kiume.

Wanawake wenye busara na hekima huwa hawafanyi huu upuuzi. Mtu wa namna hii akisaidiwa tabia ya kiburi na mapembe ya jeuri huwa vinakuwa maradufu na hatoweza kujifunza kwa matendo yake.

So be it, hakuna mtu anaehukumiwa sababu alichagua kumpotezea mtu aliyemdhuru kwa kusudi sababu hata maneno ya hekima yanatuagiza kuachana na kuwakalia mbali wale wanaotukorofisha kwa makusudi kisha wanapaza sauti zao kulalamika tusipowarudi.
 
mkuu kama hiyo aya yote ni neno moja basi nikusalim tuu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania

Sent from my M2101K7AI using JamiiForums mobile app
Hahahahahhahahahahahahahaha mzee baba hunaga baya 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Yeye hawezi kuwa mtu! Ili neno naomba lisitumike vibaya. Ukiskia yule jamaa “mtu” kweli yani jua kabisa ana character zote za kibinadamu zikitawaliwa na huruma na hekima!

Tabia ya usaliti ni tabia ovu haikubaliki popote duniani wala mbinguni. Na ndio maana shetani yupo duniani anapuyanga tu baada ya kutimuliwa peponi!
 
msaidie hiyo changamoto yake,
ILA MAMBO YA MAPENZI NAYE PAMOJA NA NDOA ACHANA NAYO.......

Tnda wema nenda zako.
Hakuna mnamtetea nini huyo mpuuzi😅 she must taste the blood of her own flesh! Itamsaidia wakati mwengine akiwa na mtu aache tabia ya kuangalia maslahi yake tu.
 
noted
 
noted
 
Songa mbele kurudi nyuma mwiko achana nae asaidiwe na huyo nsomi mwenzake. Dawa ya moto ni moto.
 
Hakunaga hio [emoji28] hilo alilofanya huyo mwenzenu ni kusaliti kambi wala sio kumkataa! Alitakiwa agome kuwa nae toka Chugga huko!
Ndo mnapokoseaga maisha na msaada ni zaidi ya ngono aka zinaa kitu kiko ndani ya uwezo wako why usitoe msaada kwa mtu. Toa msaada then sepaga huyo dada ndo atapata revenge nzuri bila kumrudia
 
kama shida yake haikugharimu sana wewe hebu msaidie mkuu uokoe kizazi chake, kukoseana kwenye mapenzi kusikufanye usimsaidie shida za kibinadamu
 
Ngoja sasa nikuambie Jambo rafiki. Huyo dada alikuacha baada ya kujihakikishia hana anachohitaji toka kwako. Na alipokuambia hakupendi hakuwa anatania, alikuambia ukweli. Ndo maana akakupa ruhusa uwaambie ndugu zako na rafiki zako.

Usithubutu kusogeza tena karibu yako. Kama yeye hakujal hisia zako, wewe kwann uanze kuwaza sana juu yake.
Acha ujinga na utegemezi wa kihisia.
Ili hakuheshimu na kuwaheshimu wanaume wajao kwake mfungie vioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…