chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Akawasha gari akaterezaDah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.
Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Wamanyafu ni nomaDah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.
Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Ndugu, kama ulikuwa hutaki kueleza story si ungeuchuna tu. Ni uvivu wa kuandika au tatizo ni nini? Andika kitu kinachoeleweka. Hivi unadhani kila mmoja angekuwa anaandika hivyo .tungekuwa tunakuja hapa kusoma nini?Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.
Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Alikuwa demu wangu ila baada ya Mimi kupigika mtaani akaamua kunitamkia kuwa anataka tuachane maana amepata mshikaji mwingine. Na akanambia jamaa yake kanizidi kila kitu. Iliniumiza sana asee ila baada kama ya siku kadhaa demu akapata ajali ya gari. Kuna feeling nilipata ya majonzi ila pia niliona kama bora hata jamaa hajamfaidi.Kivip hebu tupe stor kidogo
Hapana mkuu ni alipata ajaliWakinger Mnauwa wenzenu.