Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

Alikuwa demu wangu ila baada ya Mimi kupigika mtaani akaamua kunitamkia kuwa anataka tuachane maana amepata mshikaji mwingine. Na akanambia jamaa yake kanizidi kila kitu. Iliniumiza sana asee ila baada kama ya siku kadhaa demu akapata ajali ya gari. Kuna feeling nilipata ya majonzi ila pia niliona kama bora hata jamaa hajamfaidi.
Aiseer
 
dah nimekumbuka kile kisa cha rafiki yangu alofiwa na boy wake dah.
vifo n fumbo haswaa
 
Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.

Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Riwaya nzuri sanaaas......tunatega sikiooo
 
1. Baada ya kupata taarifa ya kifo cha mpenziyo ilhali kakuacha, kipi cha kwanza kilikuijia kichwani mwako?

2. Hadi sasa unamkumbuka kwa lipi?

3. Na ni kipi ulijifunza baada ya tukio hilo kutokea?
 
1. Baada ya kupata taarifa ya kifo cha mpenziyo ilhali kakuacha, kipi cha kwanza kulikuijia kichwani mwako?

2. Hadi sasa unamkumbuka kwa lipi?

3. Na ni kipi ulijifunza baada ya tukio hilo kutokea?
1. Niliumia kinoma
2. Alinipenda najua life ndo ilitutenganisha
3. Nilichojifunza ni kuwa Dunia Ina mengi
 
Back
Top Bottom