Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

Hawa ni wanawake wanapenda maisha ya juu ndio wanakuwaga hivyo. Anataka upigike hawafahamu zile process zote zinatufanya wanaume masikini. Alikuepo anahitaji Ukapeleke mahali kwao, baada ya hao sendoff na harusi za Gharama kubwa. Wanawake wamesahau kuwa Zama zimebadilika
Yani wanajisahau Sana mkuu
 
Umenena vyema Sana ,wanasahau yanayokua yanatokea
 
Msaidie kwa maana kuachana kwenu hakukuwa kwa dharau,matusi na kejeli..

Ila asirudishe majeshi tu
 
Wambabue na mwingine halafu ndio akukumbuke..?

Aolewe hapohapo kwao.. kama kuna vijana
 
Back
Top Bottom