Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Pamoja na mama,dada,mashangazi,mashemeji zako pia mkuu,.. kwahiyo siko pekeangu mwenye akili fupi.wanasemaga akili zenu fupi kumbe hajakosea. hayaa atampa sapoti.
Ahsante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na mama,dada,mashangazi,mashemeji zako pia mkuu,.. kwahiyo siko pekeangu mwenye akili fupi.wanasemaga akili zenu fupi kumbe hajakosea. hayaa atampa sapoti.
Nimshenzi Sana anasahau aliyofanyaWambabue na mwingine halafu ndio akukumbuke..?
Aolewe hapohapo kwao.. kama kuna vijana
Sijakuelewa mkuu..? Nipe maelezo vizuriUnataka awe single mom muanze kunanga humu
Pamoja na mama,dada,mashangazi,mashemeji zako pia mkuu,.. kwahiyo siko pekeangu mwenye akili fupi.
Ahsante.
😂😂😂 Ahsante sana mkuu🤝ndio ila wewe umeibuka namba moja.
Ungemwita muonane halafu unamlamba makofi mawili ya nguvu kisha unamwambia afute namba yako na iwe mwanzo mwisho kukutafuta.Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao.
Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi ya kutoa, kisha akaja kuniambia nilikasirika sana Ikabidi nimuache maana mi sikutaka atoe.
Miaka ikapita akaona umri unaenda akapata mtu akampa ujauzito akajifungua bila ndoa cha ajabu zaidi mwanamke akanitafuta akaniambia aliemzalisha ni mvivu wa kutuma matumizi kwani hawaishi pamoja ye yuko kwao Hadi leo anaomba niwe naampa kidogo support.
Wanawake wenye tabia kama hizi endeleeni.
Hakuna kutoa support hapo. Na ukiona umejilegeza na kuanza kuhudumia, tunakufukuza jamiiforums. Hatutaki uboya.Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao.
Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi ya kutoa, kisha akaja kuniambia nilikasirika sana Ikabidi nimuache maana mi sikutaka atoe.
Miaka ikapita akaona umri unaenda akapata mtu akampa ujauzito akajifungua bila ndoa cha ajabu zaidi mwanamke akanitafuta akaniambia aliemzalisha ni mvivu wa kutuma matumizi kwani hawaishi pamoja ye yuko kwao Hadi leo anaomba niwe naampa kidogo support.
Wanawake wenye tabia kama hizi endeleeni.
Anaeweza akakupa kesi mkuuUngemwita muonane halafu unamlamba makofi mawili ya nguvu kisha unamwambia afute namba yako na iwe mwanzo mwisho kukutafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha...nakubali mkuuHakuna kutoa support hapo. Na ukiona umejilegeza na kuanza kuhudumia, tunakufukuza jamiiforums. Hatutaki uboya.
Mtoto wetu tena mkuu?We toa supoort bwana we mlee mtoto wenu.
Sure manHahahaha...nakubali mkuu
Ndio bwana, kitanda hakizai haramu.Mtoto wetu tena mkuu?
kutoa mimba siyo dharau!?🤬Msaidie kwa maana kuachana kwenu hakukuwa kwa dharau,matusi na kejeli..
Ila asirudishe majeshi tu
naunga mkono hoja.Ungemwita muonane halafu unamlamba makofi mawili ya nguvu kisha unamwambia afute namba yako na iwe mwanzo mwisho kukutafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hapo kimezaa haramu huyo sio wanguNdio bwana, kitanda hakizai haramu.