Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

Yani wanajisahau Sana mkuu
 
Umenena vyema Sana ,wanasahau yanayokua yanatokea
 
Msaidie kwa maana kuachana kwenu hakukuwa kwa dharau,matusi na kejeli..


Ila asirudishe majeshi tu
 
Wambabue na mwingine halafu ndio akukumbuke..?

Aolewe hapohapo kwao.. kama kuna vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…