Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

Pengine kipindi anakuacha ulikuwa mshamba. Kosa lake hapo sio kukuita mshamba, bali ni kushindwa kukuvumilia mpaka ujanjaluke.

Sasa hivi anarudi kwavile ushamba umekuisha.
 
Ni mweupe?
Ana tako kubwa?
 
 
Msamehe halafu uendelee na maisha yako ya "kishamba" muheshimiwa.
 
Mwanamume haringiwi mpotezee hata usijibu jumbe zake wala usipokee simu zake kabisa. Ikiwezekana mpige block kabisa
Wewe ni mjinga mwenzangu, acha ampime afya, amle ndipo ampotezee.

Akimtafuta amwambie amepata anayeendana naye
 
Wanawake Wana Hasira tu mwamba amrudie bibie wajenge familia
 
Alipoharibu na ambacho ni cha kweli ni kumwambia hana hisia naye.

Mwanamke akikwambia hana hisia nawe ujue huo ndiyo ukweli.
Nakubali, kuwa makini sana na maneno anayotamka mwanamke, haijalishi yuko serious, ana furaha au huzun au anatania. Huwa wanaongea ukwel 😂😂
 
Mpaka umemuanzishia uzi maana yake hata wewe bado unamuwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…