Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

Wakuu kwema, hope mna weekend njema.

Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi. Nilimwambia tu sawa nashukuru.

Leo hii anakuja kunitafuta ananiomba msamaha, anapiga sana simu leo ni siku 5 hachoki kupiga simu na kutuma message eti alikosea zilikua ni hasira tuu.

Wanawake wengine ni takataka kabisa!
Mwambie umeshapata tulizo la moyo wako akukome kama alivyokoma ziwa la mama yake, usile matapishi yako!
 
Achana na huyo mtoto wa ushuani. Tafuta mshamba mwenzio mwenye hisia na wewe
 
Hii ni njia ya kijinga kwanini ujisemeshe, huyo ni kutojibu sms wala kupoke simu na mara mojamoja unajibu akituma 'mambo' unajibu 'poa' then hujibu tena....anaumia kisaikolojia.
Sea Beast mkuu kwanini mwanamke aliyekuzingua ukiwa una mjibu alafu kuna siku unamkaushia aaumia kisaikolojia wakati naona ukim-block kabisa au ukimlia buyu ndio itamuuma?
 
Sea Beast mkuu kwanini mwanamke aliyekuzingua ukiwa una mjibu alafu kuna siku unamkaushia aaumia kisaikolojia wakati naona ukim-block kabisa au ukimlia buyu ndio itamuuma?
Nimesema unamkaishia na siku unamjibu mara moja na sio unamjibu na siku unamkaushia.

Mwanamke anaumia akikosa ATTENTION hasa alipokuwa anapata kwa mtu kama wewe sio Block hapo umemuwekea ukita jumlajumla haumii Ana recover fast fast.
 
Hapo sijakupata mkuu? Sea Beast
 
Wakuu kwema, hope mna weekend njema.

Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi. Nilimwambia tu sawa nashukuru.

Leo hii anakuja kunitafuta ananiomba msamaha, anapiga sana simu leo ni siku 5 hachoki kupiga simu na kutuma message eti alikosea zilikua ni hasira tuu.

Wanawake wengine ni takataka kabisa!
Mpokee awe mchepuko wa kudumu,yaani muweke kundi la ambalo huna malengo naye,pima afya kwanza.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa mimi enzi za ujana ningening'inia mara moja nimkoleze then nilale mbele.
 
Wakuu kwema, hope mna weekend njema.

Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi. Nilimwambia tu sawa nashukuru.

Leo hii anakuja kunitafuta ananiomba msamaha, anapiga sana simu leo ni siku 5 hachoki kupiga simu na kutuma message eti alikosea zilikua ni hasira tuu.

Wanawake wengine ni takataka kabisa!
Kosa ambalo mwanaume hatakiwi kulifanya ni kumrudia mwanamke aliyemuacha! Ukimrudia utajuta maisha yako yote kwani atakuacha tena! Huyo ni wa kumkimbia kabisa …tena mwambie aache kuwa mjinga mjinga maana wewe sio mjinga mwenzie! Najua bado wampenda ila jikaze!
 
Huu ndo muda sahihi wa kumpa jibu moja fupi sana litakalo muumiza maisha yake yote
Wakati ule wewe ukiwa na maumivu yeye akiwa na furaha haukuwa wakati mzuri wa kumjibu maana asingezingatia jibu lako angekujibu kwa tusi sasa pigilia msumari mmoja wa moyo alafu mkaushie
 
Usiwe na tabia ya kuchukulia wanawake serious. Akikwambia anakupenda we sikia kama utani tu as if bibi wa miaka 90 anamwambia kijana wa miaka 10 kwa utani"mume wangu nipe hela yangu ya salooni"

Akikutamkia maneno makali ya kukudharau chukulia kuwa kuna mtu amegombana nae ila wewe amechagua kukutolea hasira ila hajamaanisha kuwa wewe ndie anakulenga na hayo maneno.

Usipochukulia serious utaona kama utaweweseka na chochote atakachokufanya hapo ndipo unakuwa umekuwa kiakili na kukomaa kiume.

So unavyoendelea kuishi simamia hapa uone kama utakuja kuona wanawake ni tatizo kwenye maisha yako.
 
Manyanza ushauri mzuri mkuu.
Hivi ukishampotezea mwanamke kama hivi, huwa baada ya hapo anajisikiaje?
Hiyo atajua yeye na alipochagua kwenda cha muhimu ni kuachana na upuuzi hayo mengine yanamhusu yeye na huko anapokwenda atajaza mwenyewe.
 
Kashapigwa tukio na kasharobaro kake!achana hiyo kenge ghafla
 
Back
Top Bottom