Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

Tuacheni utani wazee, huko ground mambo magumu kwelikweli. Unakuta familia ina mabinti watatu wote wana umri wa kuolewa na shule wameenda ila ni singo maza wote hamna aliechukuliwa kihalali ndani. Naona hii generation mambo yamekua tofauti sana na zama za wazee wetuu
 
tatizo hawa wenye degree zao wanamuheshimu boss kuliko mume au ndio hivyo tena wanajidai wana degree. ni kuwabebesha mimba tuu na kuwaacha walee na mama zao
 
Kweli ulikuwa mshamba
maji ya mjini yamekutakatisha ndo maana anakuitaji kwakuwa si mshamba tena
 
tatizo hawa wenye degree zao wanamuheshimu boss kuliko mume au ndio hivyo tena wanajidai wana degree. ni kuwabebesha mimba tuu na kuwaacha walee na mama zao
NA divorces imekua kitu ya kawaida tu
 
Pendekeza maamuzi yako tuyawekee saruji ama udongo
 
Msamehe. Kuna muda hatujui thamani ya tulivyonavyo hadi tuvipoteze.
 
Sii wanajua watagawana vya kwako. Wahuni tuu hawa....bora kuoa std 7 failure tuu. Unambuluza utakavyo
Wa hivi angalau awe na akili za maisha kdogo angalau bila hvo utapgwa kote kote yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…