Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Mwanamke ukijifanya unampenda sn,anakuona kama vile umechanganyikiwa[emoji23]
 
Kuna mambo 4 Kama mwanaume unapaswa kuyajua
1.Wanaume tunatamani Kwanza
2. Wanawake wanapenda baadae
3. Ukizidisha attention,unazd kumkosa,
4. Akishakupenda, usipompa attention anachanganyikiwa

Absolutely, right.
 
Mapenzi Ni Sanaa....na muhesabu Visa haliwezi penzi
 
Utoto unakusumbua ukikua utaacha, hutakiwi kushindana na mwanamke hayo ni mapungufu ya kawaida Sasa kwenye mahusiano au ndoa utaweza kweli
 
Mapenzi Ni Sanaa....na muhesabu Visa haliwezi penzi
Ukijifanya mkamilifu mapenzi au mahusiano lazima yakushinde, unaingia kwenye mahusiano unatathmini mapungufu ya mwenzako je unayaweza lakin ukisema utafute mkamilifu kwanza hayupo kwa hiyo utajikuta unaishi maisha ya stress
 
Aaah mkuu... kwani mtoa mada kasema ame underestimate power of woman? Huyo demu kakutana na mjanja zaidi yake. Halafu mbona trick za huyo demu ni za kitoto mno? Kipi kimekubabaisha hapo mkuu?
 
“Never under estimate power of woman in mission, mwanamke akiamua Jambo lake huchomoki, otherwise uwe jasusi Kama yy au zaidi yake
Kuna mwana anaelea mtoto sasa hivi, walikubaliana hakuna kushika mimba na demu akamuhakikishia ameweka vijiti.
Sasa sijui vijiti vilipasuka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…