Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake ku-file divorce (talaka) mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alihustle kuzitafuta maishani.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson
–Tyrese Gibson
Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini mno.
Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.
Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.

"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
–Tyrese Gibson
–Tyrese Gibson
Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha akiwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani aliulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake na Tyrese. Akajibu yuko tayari kurudiana naye. Hao ndio aina ya wanawake tulio nao miaka hii.
Learn or perish
Learn or perish