Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Huyu mwamba kuna siku ex wake alihojiwa,akawa anasema anajuta kwa nini aliachana na Tyrese, Tyrese baada ya kuona ile Intvw mwamba aliongea machozi yana mtoka,inaonekana demu alimpukutisha sana.

Kuna podcast moja hivi ya malumbano kati ya wanaume na wanawake.Wanawake wakawa wanahoji kwa nini US wanaume wanaogopa kuoa. Kuna mwana mmoja akasema hawaogopi kuoa, sababu talaka nyingi US kwa asilimia sabaini zinakuwa initiated na wanawake sababu, hawana cha kupoteza.Ila mwanaume jiandae mali zako kupigwa pasu, kuna Allomony kwa ajili ya mkeo na kuna Child Support ya watoto. Allomony na Child support zinalipwa kila mwezi.

50 cents, Cris brown,Kevin Durant, James Harden na masupastaa wengine wengi hawa hawana mpago wa kuoa kabisa nk.Young Jeezy nae yamemkuta kama yaliyo mkuta Tyrese ila ameamua kula jiwe ila moyoni ana maumivu amaeyaficha moyoni.
Si wasign prenup( pre-nuptial agreement) kabla ya ndoa??
 
Huyu mwamba kuna siku ex wake alihojiwa,akawa anasema anajuta kwa nini aliachana na Tyrese, Tyrese baada ya kuona ile Intvw mwamba aliongea kwa uchungu machozi yana mtoka,inaonekana demu alimpukutisha sana.

Kuna podcast moja hivi ya malumbano kati ya wanaume na wanawake.Wanawake wakawa wanahoji kwa nini US wanaume wanaogopa kuoa. Kuna mwana mmoja akasema hawaogopi kuoa, sababu talaka nyingi US kwa asilimia zaidi ya 70 zinakuwa initiated na wanawake sababu, hawana cha kupoteza.Ila mwanaume jiandae mali zako kupigwa pasu, kuna Allomony kwa ajili ya mkeo na kuna Child Support ya watoto. Allomony na Child support zinalipwa kila mwezi.

50 cents, Cris brown,Kevin Durant, James Harden na masupastaa wengine wengi hawa hawana mpago wa kuoa kabisa nk.Young Jeezy nae yamemkuta kama yaliyo mkuta Tyrese ila ameamua kula jiwe ila moyoni ana maumivu amaeyaficha moyoni.Masupastaa wengi wa mbele ambao wana ndoa imara (LeBron,Snoop,Jalen Brunson japo kaoa juzi ila demu wake ni rafiki yake kipindi wakiwa college) ni wale walianza mahusiano tokea wakiwa hawana kitu yani kipindi wapo college/utotoni.Ila hawa wanaokuja baada ya kupata kitu, probability ya ndoa kuvunjika zaidi ya asilimia 70.
Mkuu mbona nimesoma mahala jeezy ndo ameomba talaka mwenyewe?
 
Si wasign prenup( pre-nuptial agreement) kabla ya ndoa??
Prenup mademu wa US hawataki kuisikia kabisa. Ujue siku hizi mapenzi baada fedha kuwa mbele mapenzi yamekuwa rahisi sana, ndio maana mbele mtu yupo tayari kumpa demu hata 3m USD ili amzalie then baada ya hapo demu anajikataa ana mwachia mtoto kila mtu na maisha yake. Sababu anajua ngumu kupata mwanamke atakaye mpenda kweli,ila kwa kuwa ana hela basi ni rahisi kupata ngono kwake familia sio kipaumbele sana kipaumbele chake ni mtoto,mfano Cris Brown ana watoto watatu kawapata kwa style kama hii.

Wanawake hawajui fedha imefanya ngono iwe rahisi na iwe kama bidhaa, si unajua bidhaa wanazigrade na hata ile iliyokuwa na thamani kubwa juzi leo itadrop. Ngono siku hizi imekuwa bidhaa na ndio maana haifanywi kwa hisia na upendo,ndio maana siku hizi kuna mitindo/style ya kufanya mapenzi zaa ajabu a kukomoa, sababu fedha imefanya wanawake wawe kama kifaa cha kufanyia ngono, yaani ule ubinadam haupo ndio maana unasikia siku hizi kuna lundo linalokuwa kwa kasi la wanawake wanaotoa ndogo.
 
Mkuu mbona nimesoma mahala jeezy ndo ameomba talaka mwenyewe?
US mwanaume kuomba talaka ni sawa kukubali kufilisika, talaka za US sio bongo. Tajiri wa Amazon talaka yake na mkewe imemtoka USD bil 40,hapo bado anatoa Allomony na Child Support na ndio maana Bil Gates,Jeff Benzos,Elon musk hutokuja kusikia wakioa tena baada kuachana wake zao,kwani talaka zimewapukutisha hela nyingi, sema tu wao wanavyanzo vingi vya fedha ila swala kuoa tena vichwani mwao hamna, japo sasa hivi wanatoka vibinti vigori.

Talaka US huwezi fananisha na bongo,kwani huwaga inamwacha mwanaume katika hali mbaya ya kiuchumi. Wanaume wanaombaga talaka ni wale wanaodate na wanawake wenye hali nzuri kifedha,sababu wanajua hawana cha kupoteza,kama Merry J,Britney nk hawa nao wanaume zao wamepiga hela kupitia talaka.
 
"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson

Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake, kufile divorce mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.

Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.

"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson

Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.

Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.

Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.

"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
Tyrese Gibson

Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha alikuwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani alipoulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.

Learn or perish
Jana tena Jaji ka triple Child support🤣 alichokuwa anatoa kwa mtoto wake kwa mwezi!! Sasa Mahakama imeamuru awe anakitoa mara 3 kwa mwezi..
 
Back
Top Bottom