Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Jana tena Jaji ka triple Child support🤣 alichokuwa anatoa kwa mtoto wake kwa mwezi!! Sasa Mahakama imeamuru awe anakitoa mara 3 kwa mwezi..
hahahaha, daah

Bwana Hamisi wa Geza Ulole alikuwa sahihi kutumia gunia la mkaa kuchoma mbwa yule
Bwana Daudi wa Tandika alikuwa sahihi kukatakata vipande vipande hizi mbuzi
 
Prenup mademu wa US hawataki kuisikia kabisa. Ujue siku hizi mapenzi baada fedha kuwa mbele mapenzi yamekuwa rahisi sana, ndio maana mbele mtu yupo tayari kumpa demu hata 3m US ili amzalie then baada ya hapk demu anajikataa ana mwachia mtoto kila mtu na maisha yake. Sababu anajua ngumu kupata mwanamke atakaye mpenda kweli,ila kwa kuwa ana hela basi ni rahisi kupata ngono kwake familia sio kipaumbele sana kipaumbele chake ni mtoto,mfano Cris Brown ana watoto watatu kawapata kwa style kama hii.

Wanawake hawajui fedha imefanya ngono iwe rahisi na iwe kama bidhaa, si unajua bidhaa wanazigrade na hata ile iliyokuwa na thamani kubwa juzi leo itadrop. Ngono siku hizi imekuwa bidhaa na ndio maana haifanywi kwa hisia na upendo,ndio maana siku hizi kuna mitindo/style ya kufanya mapenzi ya ajabu ya kukomoa, sababu fedha imefanya wanawake wawe kama kifaa cha kufanyia ngono, yaani ule ubinadam haupo ndio maana unasikia siku hizi kuna lundo linalokuwa kwa kasi la wanawake wanaotoa ndogo.
Mambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???

Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
USichokijua ni kwamba 80% ya wanawake wanajisifia kua wanawachuna wanaume kumbe kiuhalisia anatumia ela ambayo iliwekwa kwenye bajeti ya wanawake😁
 
Ukweli ni mchungu , wazungu walipigania harakati za wanawake chin ya mwamvuli wa haki sawa ikiwa ni harakati za feminism ...Walikuwa wanawaona jamii nyingine ni wajinga ila sheria zao ni mateso kwa mwanaume atakayefunga ndoa .

Kiufupi chini ya sheria za mzungu usijaribu kuoa utakwisha kabisa ...Mwanamke anakufanyia visa halafu bado anatka kukufilisi kabisa ? Haki sawa iko wapi mbona ni upande mmoja?

Kiufupi hizo ni harakati za mwanamke kutawala kwa kukandamiza wanaume .
 
🤣🤣🤣🤣🤣huku ndio chaka lao la kujificha wanalalamika,acheni kuwatesa watoto wa mama wake jamani
Mzee wa kupambania anajisifu yeye haongi ila anasponsor mchakato wa demu kuliwa

Kwanini huo mchakato wasitumie pesa za mwanamke au zao wote cz raha wote wanapata!

Watajibana lakini mwisho wa siku hela zao ni zetu na zetu ni zetu tu😂
 
Back
Top Bottom