Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Hujasema lakini ndo mawazo yetu... Sisi si tunajijua bibie 😊Mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha!
Wapi nimesema wanataka kuniona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasema lakini ndo mawazo yetu... Sisi si tunajijua bibie 😊Mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha!
Wapi nimesema wanataka kuniona?
Unachanganya single maza na wajane ama watalakiwa.Mbona single mama wanaolewa sana tu! Tena waislamu ndio usipime☺️
Nimeongea kitu nilichokionaUnachanganya single maza na wajane ama watalakiwa.
Wanawake wengi ambao wamezaa halafu wanaolewa ni wale eidha wamefiwa na wame zao au wametalikiwa.
Ila hao waliozaa nje ya ndoa ni nadra sana kuolewa.
Sasa ushasema waislam ephen... Wale hata kimaadili kidogo wana hayaMbona single mama wanaolewa sana tu! Tena waislamu ndio usipime☺️
Bibi yangu ana watoto 5 nilipokua na akili timamu ndio nimejua watoto watatu wa mwanzo sio wa mumewe na baba tofautitofautiSasa ushasema waislam ephen... Wale hata kimaadili kidogo wana haya
Na mostly wanaoharibikiwa naona ni wale wenye ushamba wa kuoa wanawake weupe baada ya kufanikiwa kimaisha. Mostly wenye wanawake zao blacks na wa kawaida tu naonaga wanadumu kinyama! ... Hii pia ni sababuHuyu mwamba kuna siku ex wake alihojiwa,akawa anasema anajuta kwa nini aliachana na Tyrese, Tyrese baada ya kuona ile Intvw mwamba aliongea kwa uchungu machozi yana mtoka,inaonekana demu alimpukutisha sana.
Kuna podcast moja hivi ya malumbano kati ya wanaume na wanawake.Wanawake wakawa wanahoji kwa nini US wanaume wanaogopa kuoa. Kuna mwana mmoja akasema hawaogopi kuoa, sababu talaka nyingi US kwa asilimia zaidi ya 70 zinakuwa initiated na wanawake sababu, hawana cha kupoteza.Ila mwanaume jiandae mali zako kupigwa pasu, kuna Allomony kwa ajili ya mkeo na kuna Child Support ya watoto. Allomony na Child support zinalipwa kila mwezi.
50 cents, Cris brown,Kevin Durant, James Harden na masupastaa wengine wengi hawa hawana mpago wa kuoa kabisa nk.Young Jeezy nae yamemkuta kama yaliyo mkuta Tyrese ila ameamua kula jiwe ila moyoni ana maumivu amaeyaficha moyoni.Masupastaa wengi wa mbele ambao wana ndoa imara (LeBron,Snoop,Jalen Brunson japo kaoa juzi ila demu wake ni rafiki yake kipindi wakiwa college) ni wale walianza mahusiano tokea wakiwa hawana kitu yani kipindi wapo college/utotoni.Ila hawa wanaokuja baada ya kupata kitu, probability ya ndoa kuvunjika zaidi ya asilimia 70.
Aya huwendaNimeongea kitu nilichokiona
Ndivyo bibiyo alivyokwambia single maa wanaliliwa!?Bibi yangu ana watoto 5 nilipokua na akili timamu ndio nimejua watoto watatu wa mwanzo sio wa mumewe na baba tofautitofauti
Single mama wanaolewa tena wanaliliwa kabisa☺️
kwani ni mimi uyo manzi
Nina watoto wawili baba tofauti na wenzako wanataka kunioa leo kesho we huogopi?Ndivyo bibiyo alivyokwambia single maa wanaliliwa!?
Alikuelezea hao wame wa mwanzo aliwapotezaje?
Mapenzi hayanaga mwongozoBibi yangu ana watoto 5 nilipokua na akili timamu ndio nimejua watoto watatu wa mwanzo sio wa mumewe na baba tofautitofauti
Single mama wanaolewa tena wanaliliwa kabisa☺️
HahahahahaNina watoto wawili baba tofauti na wenzako wanataka kunioa leo kesho we huogopi?
Mwanamke msomi mwenye akili timamu unajivuna kwenye public namna hii kumnyonya kijana wa watu angali ana familia, wazazi na watu wengine wa kumtegemea (marafiki na jamaa) kwa support ndogondogo ambao hawajajipata.Weuweeeeee☺️
Kuhonga hakujaanza leo! Kaa chini uvute pumzi kwanza
Kuhonga alifanyiwa Eva kupewa ubavu na Adam sembuse sasa hivi
Endeleeni kusambaza elimu labda mtaokoa kizazi cha mtondogoo
Lesson..."Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake, kufile divorce mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson
Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.
Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.
Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.
"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
–Tyrese Gibson
Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha alikuwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani alipoulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.
Learn or perish
Halafu mbaya zaidi huwa hawafiki popote na hizo mali."Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake, kufile divorce mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson
Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.
Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.
Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.
"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
–Tyrese Gibson
Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha alikuwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani alipoulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.
Learn or perish
Ntaliwinda hilo mpaka nilikojolee 😋Hongera kwa kunifahamu
Kaongea kwa kifupi.Nina watoto wawili baba tofauti na wenzako wanataka kunioa leo kesho we huogopi?