ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Soma post #60Na hiyo sio bajeti ya wanawake ni bajeti ya papuchi😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post #60Na hiyo sio bajeti ya wanawake ni bajeti ya papuchi😁
Wapo ila probability ni ndogo na hasa ukiwa na fedha.Fedha huvuta fakes friends na bitch, the same hata kwa wanawake wenye fedha ndio maana mara nyingi huangukia kwa Mario.Mambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???
Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
akili za wala haruf ya haja chooni ndo kama wwKwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
Mpe muda , muda haijawahi kusema uongo.Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Wewe una-date FALA!Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Muda wa nini penzi lipo shatashataMpe muda , muda haijawahi kusema uongo.
Shukuru mungu una tako 🤔Wapo wengi sasa nimshikilie yupi? Wengine nawaita shemeji kabisa kwa marafiki zangu☺️
Kukataa wanawake tu ni hitilafu tosha.....Naombwa kutokuwa angle ya kiumeni, si jambo rahisi kusimamia huo ushauri unaotoa, lands mwenye hitilafu ya kuzaliwa.
Weuweeeeee☺️Wewe una-date FALA!
Option ni mbili tu kuoa au kuolewa......akili za wala haruf ya haja chooni ndo kama ww
haufkiliii unakua kama mende
Nakazia🤣🤣🤣 kwa jinsi wanawake tunavyowapa jakamoyo, bora walivyoanza kupendana wao kwa wao,
Hongera kwa kunifahamuShukuru mungu una tako 🤔
Basi usimshike mkono wakati unakula!Muda wa nini penzi lipo shatashata
Kwani kuhongwa kumeanza leo? Tokea enzi za bi kidude, jn mengi mpaka sasa😉
Unasemaaaa? Network inasumbua sijasikia vizuri.Option ni mbili tu kuoa au kuolewa......
Mkuu hawa viumbe naona hii wiki umewaamulia."Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake, kufile divorce mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson
Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.
Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.
Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.
"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
–Tyrese Gibson
Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha alikuwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani alipoulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.
Learn or perish
Well said familia! Na atakuwa ana tako huyu... Unajua wanaume tunavutiwaga na matashtiti fulani hivi mixer mapashupashu, kwahiyo hata akiwa shemeji tunafanyaga juu chini tuukule ule mzigo non-stop! 😂👍🙌hao Shemeji wanataka tu kuuona uchi wako, usijipe umuhimu kiivo
Ndio maana tunafuata sheria ya Achraf Hakimi.Huyu mwamba kuna siku ex wake alihojiwa,akawa anasema anajuta kwa nini aliachana na Tyrese, Tyrese baada ya kuona ile Intvw mwamba aliongea kwa uchungu machozi yana mtoka,inaonekana demu alimpukutisha sana.
Kuna podcast moja hivi ya malumbano kati ya wanaume na wanawake.Wanawake wakawa wanahoji kwa nini US wanaume wanaogopa kuoa. Kuna mwana mmoja akasema hawaogopi kuoa, sababu talaka nyingi US kwa asilimia zaidi ya 70 zinakuwa initiated na wanawake sababu, hawana cha kupoteza.Ila mwanaume jiandae mali zako kupigwa pasu, kuna Allomony kwa ajili ya mkeo na kuna Child Support ya watoto. Allomony na Child support zinalipwa kila mwezi.
50 cents, Cris brown,Kevin Durant, James Harden na masupastaa wengine wengi hawa hawana mpago wa kuoa kabisa nk.Young Jeezy nae yamemkuta kama yaliyo mkuta Tyrese ila ameamua kula jiwe ila moyoni ana maumivu amaeyaficha moyoni.Masupastaa wengi wa mbele ambao wana ndoa imara (LeBron,Snoop,Jalen Brunson japo kaoa juzi ila demu wake ni rafiki yake kipindi wakiwa college) ni wale walianza mahusiano tokea wakiwa hawana kitu yani kipindi wapo college/utotoni.Ila hawa wanaokuja baada ya kupata kitu, probability ya ndoa kuvunjika zaidi ya asilimia 70.