Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Inachosha hizi kelele kila siku jamaa anakuja na ID hii akimaliza anakuja na ile ID nyingine wanawake hiki wanawake kile usipende mwanamke usimpe umuhimu mwanamke bla bla blaaa mwanamke......Eeeh?! Bibi umefika mbali sana.
Atafute mwanaume mmoja sasa awe na mahusiano nae hapo anakua kapiga chini wanawake foreva. Tofauti na hapo wanawake wanaeee watamnyoosha hadi siku anakata roho