Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Eeeh?! Bibi umefika mbali sana.
Inachosha hizi kelele kila siku jamaa anakuja na ID hii akimaliza anakuja na ile ID nyingine wanawake hiki wanawake kile usipende mwanamke usimpe umuhimu mwanamke bla bla blaaa mwanamke......


Atafute mwanaume mmoja sasa awe na mahusiano nae hapo anakua kapiga chini wanawake foreva. Tofauti na hapo wanawake wanaeee watamnyoosha hadi siku anakata roho
 
Hiyo percent yako nakataa!!! Otherwise kusingekuwa na ndoa hapa nchini!!! Jamani kwa nini baadhi ya watu hesabu zinawapiga chenga????!!!! Hivi unaelewa what does 90% of what you call millenial women mean???!!!! Pole kwa kufiwa na mtoto Mungu akujalie upate mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…