Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Kwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
Haha haha dada hawa mbona kama umepaniki,
Sio kila mwenye uke ni mke..
Mke ni mwanamke mwenye sifa mtambuka
Mke hadangi,mke anajieheshimu,mke ni mlezi wa familia kiroho,kimwili na kiakili
Mke mwema ndiyo anayetafutwa na siyo
Vinginevyo
 
Nyie watu wenye vichwa viwili huwa hammaanishi msemacho.....yani ukisema nataka maji unamaanisha bia.

Utasikia mke hajichubui, mke havai wigi mwenye sifa utamuona fala, na hautajisikia fahari wala kuongozana nae, upate sasa lidangaji moja lenye wigi na limejichubua mixa mkorogo kama wa kiboko ya wachawi hapo ndo utaganda hutoki. Yani hizo sifa ulizodis amini ndio zinawapa furaha sasa

(najua hautanielewa roho mtakatifu atakuelewesha 😹)
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Unaukumbuka ule uzi wako unasema nyumbani wanauliza mbona hauolewi?

Mimi sio nabii ila utawakumbuka sana kama sio wazazi basi hao unaowasema wanalialia kukuoa
 
Elewa da eve
Mwanamme anataka mke ambaye atakua mama wa watoto wake,ambaye atampa heshima
Amini hakuna mwanamme anayeoa mke kisa ana nyashi au kajichubua..maana hao unaweza kununua tu huko mitaani na hawa hawazeeki na huu muonekano
uZuri wa mwanamke hauzeeki ndo hizo sasa utasikia tabia,uvumilivu,ucha mungu n.k
Ambayo huwezi kuyanunua ...
 
Uongo bana😹
 
Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.
 
Waje kuoa Tanzania huku sheria sio kali sana na kwenye huo utajiri mwanamke hawezi kubali kuachika 😂
 
Hii ni verification kuwa mwamba ni SIMP, badala awe ana hit n run karudia upumbavu wa kuoa tena demu liliojaza mitatuu aarrgh😂 fucx you Tyrese Gibson
 
Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.
😂😂😂😂Watupeleke tutajiandaa kwa yote.
Ila kwa mimi nimehitimu Hakimeology.
Kila kitu cha mama na baba mimi sina kitu.
Labda tugawane futa la hamdala kiuno.
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Huyo atakuwa hajafikisha umri wa kuruhusiwa kufika katika vikao vya kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…