Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #361
Hakika mkuuHUYU JAMAAA ANA TATIZO LA KIAKILI INGAWA WATU HAWAZINGATII....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuHUYU JAMAAA ANA TATIZO LA KIAKILI INGAWA WATU HAWAZINGATII....
Haha haha dada hawa mbona kama umepaniki,Kwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
Sio kila mwenye uke ni mke
Nyie watu wenye vichwa viwili huwa hammaanishi msemacho.....yani ukisema nataka maji unamaanisha bia.Haha haha dada hawa mbona kama umepaniki,
Sio kila mwenye uke ni mke..
Mke ni mwanamke mwenye sifa mtambuka
Mke hadangi,mke anajieheshimu,mke ni mlezi wa familia kiroho,kimwili na kiakili
Mke mwema ndiyo anayetafutwa na siyo
Vinginevyo
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Elewa da eveNyie watu wenye vichwa viwili huwa hammaanishi msemacho.....yani ukisema nataka maji unamaanisha bia.
Utasikia mke hajichubui, mke havai wigi mwenye sifa utamuona fala, na hautajisikia fahari wala kuongozana nae, upate sasa lidangaji moja lenye wigi na limejichubua mixa mkorogo kama wa kiboko ya wachawi hapo ndo utaganda hutoki. Yani hizo sifa ulizodis amini ndio zinawapa furaha sasa
(najua hautanielewa roho mtakatifu atakuelewesha 😹)
Mbona mimi nishaolewa! Ndoa ina miaka 3 kasoro na mtoto juuUnaukumbuka ule uzi wako unasema nyumbani wanauliza mbona hauolewi?
Mimi sio nabii ila utawakumbuka sana kama sio wazazi basi hao unaowasema wanalialia kukuoa
Uongo bana😹Elewa da eve
Mwanamme anataka mke ambaye atakua mama wa watoto wake,ambaye atampa heshima
Amini hakuna mwanamme anayeoa mke kisa ana nyashi au kajichubua..maana hao unaweza kununua tu huko mitaani na hawa hawazeeki na huu muonekano
uZuri wa mwanamke hauzeeki ndo hizo sasa utasikia tabia,uvumilivu,ucha mungu n.k
Ambayo huwezi kuyanunua ...
Mbona mimi nishaolewa! Ndoa ina miaka 3 kasoro na mtoto juu
Haha haha ngoja tusubiriUongo bana😹
Ndoa sio achievement pekee kwa mwanamke.Hongera sana nimependa hii mpende mumeo, mlee mtoto katika maadili bora endelea kuwa mke bora wa Methali usiwe kama Samantha
Ndoa sio achievement pekee kwa mwanamke.
Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.Hata bongo talaka zinatuumiza vile vile.
Labda uombee asiende mahakamani,na sasa hivi kuna mahakama ya mirathi na familia Temeke Chang'ombe wanaume tumekwisha.
Kuna TAMWA na TAWLA tumekwisha.
Yani wakifika huko talaka haitoki pasi na mgawanyo wa nusu ya mali,hata kama kuna nyumba moja mtaambiwa iuzwe au uiache akae mwanamke na watoto.
Yani ukiachana na mkeo ombea asiitake talaka mahakamani.
Waje kuoa Tanzania huku sheria sio kali sana na kwenye huo utajiri mwanamke hawezi kubali kuachika 😂Mhh msikilize Luis Saha mchezaji wa Everton, Spurs na Man Utd alikuwa anakunja kwa wiki Pounds 200K.Kwenye hiyo list ya wachezaji kuna Henry na Ebue ambaye mke wake kampukutisha kila kitu, hajamwachia hata senti.
View attachment 3083567
Kwa kifupi kama ukiwa na hela ni ngumu kupata mke bora.Hatu waonyeshei vidole ila kwa nchi za ulaya na US ndio hali halisi.
Hii ni verification kuwa mwamba ni SIMP, badala awe ana hit n run karudia upumbavu wa kuoa tena demu liliojaza mitatuu aarrgh😂 fucx you Tyrese GibsonHuyu Tyrese ni mpumbavu sana ni jamaa ambaye anapuuza sana red flags kwa wanawake
Imagine sasa hivi amemuoa single mom ambaye huwa anapost picha za nusu uchi mitandaoni anaitwa Zelie Timothy mwanamke ana red flags zote lakini Tyrese kazama penzini naye.
Mwone na anacheka kabisa kumuoa single mom. Kweli single mom ni mwanamke wa kufanya naye maisha? Inasikitisha sana.
View attachment 3083942
Tyrese na Zelie Timothy
Hata yule ex wife wake Samantha naye alikuwa na red flags za kutosha naye akamuoa hivyohivyo akazipuuza kwa sababu ya pussy na urembo wake akapigwa 50% ya assets
Huyu jamaa ni aina ya wanaume dhaifu wengi tulio nao katika jamii kwa sababu ya pussy na nyash wanapotezea red flags wanaishia kuchitiwa na kupigwa nusu ya assets zao na makahaba wakati wa talaka
Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanaume wapumbavu wa aina hii. Naamini hata mwanae 50 Cent huko alipo kachoka
Mwanaume yeyote kabla ya kuoa lazima ufanye vetting na uzingatie red flags la sivyo maumivu.
Don't feel pity for these men, they deserve everything and more they get from these women. There's a price to simping
Learn or perish
Hii ni verification kuwa mwamba ni SIMP, badala awe ana hit n run karudia upumbavu wa kuoa tena demu liliojaza mitatuu aarrgh😂 fucx you Tyrese Gibson
😂😂😂😂Watupeleke tutajiandaa kwa yote.Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.
napiga nyeto nje, nikikaribia kumwaga naweka kidudu ndani namwagia humoMkuu watoto utawaletaje sasa..?
Kumlea peke yangu ni sawa kuliko kua kwenye toxic marriageUlitaka huyo mtoto umlee kama single mom pasipo kuwa kwenye ndoa?
Huyo atakuwa hajafikisha umri wa kuruhusiwa kufika katika vikao vya kataa ndoaKinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌