Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Kwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
Haha haha dada hawa mbona kama umepaniki,
Sio kila mwenye uke ni mke..
Mke ni mwanamke mwenye sifa mtambuka
Mke hadangi,mke anajieheshimu,mke ni mlezi wa familia kiroho,kimwili na kiakili
Mke mwema ndiyo anayetafutwa na siyo
Vinginevyo
 
Nyie watu wenye vichwa viwili huwa hammaanishi msemacho.....yani ukisema nataka maji unamaanisha bia.

Utasikia mke hajichubui, mke havai wigi mwenye sifa utamuona fala, na hautajisikia fahari wala kuongozana nae, upate sasa lidangaji moja lenye wigi na limejichubua mixa mkorogo kama wa kiboko ya wachawi hapo ndo utaganda hutoki. Yani hizo sifa ulizodis amini ndio zinawapa furaha sasa

(najua hautanielewa roho mtakatifu atakuelewesha 😹)
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Unaukumbuka ule uzi wako unasema nyumbani wanauliza mbona hauolewi?

Mimi sio nabii ila utawakumbuka sana kama sio wazazi basi hao unaowasema wanalialia kukuoa
 
Nyie watu wenye vichwa viwili huwa hammaanishi msemacho.....yani ukisema nataka maji unamaanisha bia.

Utasikia mke hajichubui, mke havai wigi mwenye sifa utamuona fala, na hautajisikia fahari wala kuongozana nae, upate sasa lidangaji moja lenye wigi na limejichubua mixa mkorogo kama wa kiboko ya wachawi hapo ndo utaganda hutoki. Yani hizo sifa ulizodis amini ndio zinawapa furaha sasa

(najua hautanielewa roho mtakatifu atakuelewesha 😹)
Elewa da eve
Mwanamme anataka mke ambaye atakua mama wa watoto wake,ambaye atampa heshima
Amini hakuna mwanamme anayeoa mke kisa ana nyashi au kajichubua..maana hao unaweza kununua tu huko mitaani na hawa hawazeeki na huu muonekano
uZuri wa mwanamke hauzeeki ndo hizo sasa utasikia tabia,uvumilivu,ucha mungu n.k
Ambayo huwezi kuyanunua ...
 
Uongo bana😹
 
Hata bongo talaka zinatuumiza vile vile.
Labda uombee asiende mahakamani,na sasa hivi kuna mahakama ya mirathi na familia Temeke Chang'ombe wanaume tumekwisha.
Kuna TAMWA na TAWLA tumekwisha.
Yani wakifika huko talaka haitoki pasi na mgawanyo wa nusu ya mali,hata kama kuna nyumba moja mtaambiwa iuzwe au uiache akae mwanamke na watoto.
Yani ukiachana na mkeo ombea asiitake talaka mahakamani.
Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.
 
Mhh msikilize Luis Saha mchezaji wa Everton, Spurs na Man Utd alikuwa anakunja kwa wiki Pounds 200K.Kwenye hiyo list ya wachezaji kuna Henry na Ebue ambaye mke wake kampukutisha kila kitu, hajamwachia hata senti.
View attachment 3083567
Kwa kifupi kama ukiwa na hela ni ngumu kupata mke bora.Hatu waonyeshei vidole ila kwa nchi za ulaya na US ndio hali halisi.
Waje kuoa Tanzania huku sheria sio kali sana na kwenye huo utajiri mwanamke hawezi kubali kuachika 😂
 
Huyu Tyrese ni mpumbavu sana ni jamaa ambaye anapuuza sana red flags kwa wanawake

Imagine sasa hivi amemuoa single mom ambaye huwa anapost picha za nusu uchi mitandaoni anaitwa Zelie Timothy mwanamke ana red flags zote lakini Tyrese kazama penzini naye.

Mwone na anacheka kabisa kumuoa single mom. Kweli single mom ni mwanamke wa kufanya naye maisha? Inasikitisha sana.

View attachment 3083942

Tyrese na Zelie Timothy

Hata yule ex wife wake Samantha naye alikuwa na red flags za kutosha naye akamuoa hivyohivyo akazipuuza kwa sababu ya pussy na urembo wake akapigwa 50% ya assets

Huyu jamaa ni aina ya wanaume dhaifu wengi tulio nao katika jamii kwa sababu ya pussy na nyash wanapotezea red flags wanaishia kuchitiwa na kupigwa nusu ya assets zao na makahaba wakati wa talaka

Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanaume wapumbavu wa aina hii. Naamini hata mwanae 50 Cent huko alipo kachoka

Mwanaume yeyote kabla ya kuoa lazima ufanye vetting na uzingatie red flags la sivyo maumivu.

Don't feel pity for these men, they deserve everything and more they get from these women. There's a price to simping

Learn or perish
Hii ni verification kuwa mwamba ni SIMP, badala awe ana hit n run karudia upumbavu wa kuoa tena demu liliojaza mitatuu aarrgh😂 fucx you Tyrese Gibson
 
Hamna mwanamke atakayeacha kukupeleka kwenye dawati kwa vizazi vya kileo maana kule anajua ndio atakukomesha vizuri😀... Wanawake ni watu wa visasi yani.
😂😂😂😂Watupeleke tutajiandaa kwa yote.
Ila kwa mimi nimehitimu Hakimeology.
Kila kitu cha mama na baba mimi sina kitu.
Labda tugawane futa la hamdala kiuno.
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Huyo atakuwa hajafikisha umri wa kuruhusiwa kufika katika vikao vya kataa ndoa
 
Back
Top Bottom