Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Watanzania msiwe na hofu, wanawake wetu hawadai kugawana mali landa ujichanganye uoe hawa wa you know you know.
 
Sio lazima hata kuolewa kama mtu hutaki
Sio kila mtu anapenda ndoa
Huku kazi huku ndoa naenda kwenye kazi
Kuna uwezekano bado age uliyo nayo kuna wanaume wengi wanakusumbua kwa sasa, ndio maana unafikia kuongea hiyo kauli. Ila ni suala la muda tu
 
Na ikiwa ulianza na demu ukiwa huna kitu na mkahustle kupata mali, haiumizi kabisa kugawana mali kwa kuwa unaona kabisa zimepatikana kwa juhudi zenu pamoja.
 
Jamaa amesema kuhusu kujichua kwamba yeye demu wake ni kujichua wakati amewahi kutuambia huwa ananunua malaya ndio maana nikamuuliza hilo swali
Maana yake kujichua hakupunguzi hamu yeyote ile.
 
Acha tu ndugu yangu, yaan sipokei simu zake nikiziona nachukia kupitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…