Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Watanzania msiwe na hofu, wanawake wetu hawadai kugawana mali landa ujichanganye uoe hawa wa you know you know.
 
Sio lazima hata kuolewa kama mtu hutaki
Sio kila mtu anapenda ndoa
Huku kazi huku ndoa naenda kwenye kazi
Kuna uwezekano bado age uliyo nayo kuna wanaume wengi wanakusumbua kwa sasa, ndio maana unafikia kuongea hiyo kauli. Ila ni suala la muda tu
 
Masupastaa wengi wa mbele ambao wana ndoa imara (LeBron,Snoop,Jalen Brunson japo kaoa juzi ila demu wake ni rafiki yake kipindi wakiwa college) ni wale walianza mahusiano tokea wakiwa hawana kitu yani kipindi wapo college/utotoni.Ila hawa wanaokuja baada ya kupata kitu, probability ya ndoa kuvunjika zaidi ya asilimia 70.
Na ikiwa ulianza na demu ukiwa huna kitu na mkahustle kupata mali, haiumizi kabisa kugawana mali kwa kuwa unaona kabisa zimepatikana kwa juhudi zenu pamoja.
 
Jamaa amesema kuhusu kujichua kwamba yeye demu wake ni kujichua wakati amewahi kutuambia huwa ananunua malaya ndio maana nikamuuliza hilo swali
Maana yake kujichua hakupunguzi hamu yeyote ile.
 
Pole sana mkuu,hawa watu ni pasua kichwa sana,wapende lakini tumia akili ya ziada huku ukimshirikisha sana Mungu,kukuingiza kwenye ma BP ni rahisi sana kwakuwa ni vitu vitakavyokuwa vinakuumiza maisha yako yote,mara nyingi mwanzoni wanakuwa ni watu wazuri sana,lakini wakishaanza kupata kipato hali huwa inabadilika,mostly wana makundi yao kama wanawake huwa wanadanganyana sana,kundi lingine ni huko kwenye salon zao,kule wanakutana na maharamia ambao tayari yameshafail kwenye ndoa zao kwahiyo kazi yao kubwa ni kuvuruga za wale wasiojitambua,Mungu kwanza mkuu everything with time kitakaa sawa...
Acha tu ndugu yangu, yaan sipokei simu zake nikiziona nachukia kupitiliza
 
Back
Top Bottom