Malezi ni pembe muhimu sana.Kumlea peke yangu ni sawa kuliko kua kwenye toxic marriage
Watoto wa single parented doh wengi wanakua kuna mengi wanayakosa katika malezi,sio wote ila wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malezi ni pembe muhimu sana.Kumlea peke yangu ni sawa kuliko kua kwenye toxic marriage
Kumlea peke yangu ni sawa kuliko kua kwenye toxic marriage
Sio lazima hata kuolewa kama mtu hutaki
Sio kila mtu anapenda ndoa
Huku kazi huku ndoa naenda kwenye kazi
Watanzania msiwe na hofu, wanawake wetu hawadai kugawana mali landa ujichanganye uoe hawa wa you know you know.
Jamaa amesema kuhusu kujichua kwamba yeye demu wake ni kujichua wakati amewahi kutuambia huwa ananunua malaya ndio maana nikamuuliza hilo swaliKununua malaya na kuoa ni vitu viwili tofauti.
Hahaha hii kali sasa una mwagia ndan wapi maana ni nyeto hiyo..?napiga nyeto nje, nikikaribia kumwaga naweka kidudu ndani namwagia humo
😀😀😀😀😀..."akasema yupo tayari kurudiana "...!Akijua kwamba kuna kibunda kipya kinamsubiri.Marabook kabisa!
TUnamaanisha hit and runKwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
wanaume wwnzetu wanatuzodoa kwa kutuambia tafuta hela wakifikiri tunawaomea wivu
Na ikiwa ulianza na demu ukiwa huna kitu na mkahustle kupata mali, haiumizi kabisa kugawana mali kwa kuwa unaona kabisa zimepatikana kwa juhudi zenu pamoja.Masupastaa wengi wa mbele ambao wana ndoa imara (LeBron,Snoop,Jalen Brunson japo kaoa juzi ila demu wake ni rafiki yake kipindi wakiwa college) ni wale walianza mahusiano tokea wakiwa hawana kitu yani kipindi wapo college/utotoni.Ila hawa wanaokuja baada ya kupata kitu, probability ya ndoa kuvunjika zaidi ya asilimia 70.
Bado unahit kwa mwanamke....msituchoshe bana na hizi kelele zenu mka....rane na wanaume wenzenu mtulie.TUnamaanisha hit and run
Ni achievement ila sio pekeeNdoa sio achievement pekee kwa mwanamke.
Maana yake kujichua hakupunguzi hamu yeyote ile.Jamaa amesema kuhusu kujichua kwamba yeye demu wake ni kujichua wakati amewahi kutuambia huwa ananunua malaya ndio maana nikamuuliza hilo swali
Mkuu unashangaa mbona kawaidaKwa kibali cha mahakama baada ya talaka? Kama sivyo Hapo umevamiwa kama wengine wanavyovamiwa na majambazi.
Poleni boss.Mkuu unashangaa mbona kawaida
Acha tu ndugu yangu, yaan sipokei simu zake nikiziona nachukia kupitilizaPole sana mkuu,hawa watu ni pasua kichwa sana,wapende lakini tumia akili ya ziada huku ukimshirikisha sana Mungu,kukuingiza kwenye ma BP ni rahisi sana kwakuwa ni vitu vitakavyokuwa vinakuumiza maisha yako yote,mara nyingi mwanzoni wanakuwa ni watu wazuri sana,lakini wakishaanza kupata kipato hali huwa inabadilika,mostly wana makundi yao kama wanawake huwa wanadanganyana sana,kundi lingine ni huko kwenye salon zao,kule wanakutana na maharamia ambao tayari yameshafail kwenye ndoa zao kwahiyo kazi yao kubwa ni kuvuruga za wale wasiojitambua,Mungu kwanza mkuu everything with time kitakaa sawa...