Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama naliona goli la kuongoza dakika 23 we mtoto una balaa 😂😂🤣🤣. Wajamaa watajipigia hat trik mapema sanaWakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
Hakuna kitu mwanaume anaumia kama kusikia x wake amepewa mimba na mwanaume mwingiine,Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
Aisee….hii ni hatari!!!!Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
usijekuthubutu kumpa nafasi mtu tena aliyekusaliti. na usijaribu kumpa adhabu kumbe aliyeko tumboni mwako maana Hana hatua. Zaa mtoto mzuri , mtoto ni baraka na endeleaa na masomo yako mengine Mungu atakujalia baaadae. Usiharakie kabisa maisha huyo mtu anakulaghai usimuaminj hata kwa lolote like
Najiuliza, kama hawa ni wanafunzi wa chuo ndio wanafanya haya mambo, wasingeenda shule ingekuwaje? Ni zaidi ya wendawazimu.Wewe na huyo mpenzi wako kama sio mna WAZIMU basi mna KICHAA.
Mwanamume anayempenda kashampata ila anataka amrudie shetani aliomtesa na kumtupilia mbali ila soon atamenyeshwa vitunguu. Wanawake ni wapuuzi sana na huyu anadhihirisha hilo live.Ipo hivi akili ya kitoto inakugharimu sana..huyo jamaa aliyejirudisha kaaa mbali naye ni shetani..ila pia nakushauri ujifungue,mwanamke usimtafute mwanaume unayependa utateseka tafuta mwanaume anayekupenda
Wewe ni kubwa jinga hapa utatusumbua tu kukushauri maana hutaufata ushauri, we toa mimba umzalie huyo bishololo unayempenda 🤣 ila majuto ni mjukuu.Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
Tuwagegede tuu mwanawaneKUBABABAKE.
Sina cha kumshauri mleta uzi, Yeye lolote atakalofanya ni sawa tu. Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru Ujinga wake.
BUT USHAURI kwa Wanaume wasomaji.
Nimekuwa naandika humu kila siku kuwa, Sacrifice utayofanya kwa mwanamke huwa sio chochote na sio lolote pale inapokuja swala la feeling za mwanamke. WOTE TUNAONA HAPO KIJANA ALIPAMBANA ILA MWISHO HAYA NDIO MATUNDA.(Na huyo jamaa akileta kelele ataishia kuambiwa "kwani nilikulazimisha", "kwani nilikuomba unisaidie"n.k.
WEWE MSOMAJI pia sio special, hauna uspesho wowote. Linalomkuta Mwanaume mwenzako, basi nawewe linaweza kukutokea vilevile. HIVYO kama huko uliko unafanya huu upumbavu wa kujitoa sehemu usipopedwa huku ukijiaminisha kuwa ukifanya hivyo utapendwa, basi acha huo UJINGA, ULOFA, UCHIZI na UKICHAA.
Be a Man, Stay Taliban.
Ndio vizuri wazee wamizagao tupate mbususu tamu tamuNyie ndiyo mnaoongeza idadi ya singo maza huku mtaani
Unachokitafuta utakipata !!! Kwaiyo ww chuo umeenda kuwabebea wenzio Mimba na sio kusoma?Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
" X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.
Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.
Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.
Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.
X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.
Ingia @ajirapediathanks
Mwanamume anayempenda kashampata ila anataka amrudie shetani aliomtesa na kumtupilia mbali ila soon atamenyeshwa vitunguu. Wanawake ni wapuuzi sana na huyu anadhihirisha hilo live.
We si hutaki nikutume uniletee Kiko, eti unasema hupendi harufu yake🤗Naomba niwasindikize babu.