Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.

Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.

Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.

Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.

X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.

Ingia @ajirapediathanks
Wewe ni MALAYA upo unasoma chuo,endelea kuvuna matunda ya umalaya wako:-
-Toa hio mimba
-Meza dawa za uzazi wa mpango
-ukifika miaka 28 anza kuwinda mume
-ukifika miaka 30 nenda kwa kiboko wa wachawi update mume
-ukifika miaka 32 utalikamata bwege=Li-SIMP litakuoa,mutaenda pamoja kuombewa mupate mtoto
 
Mwanamke mpumbavu kabisa wewe... 😇

Endelea na UFUSKA + UMALAYA....
 
Acha kuchezea uhai,usitoe hiyo mimba,na huyo mwanaume anaekuambia uitoe mimba achana nae TU ,hakutakii mema.
 
Naomba namba ya mpesa ya fokita. Usisahau kuandika "ulisi" babu.

Za uongo na kweli, sitaki.
Njoo nikusimulie, zipo hadithi nyingi kwaajili yako. Tena muda huu ndiyo mzuri, Bibi yako ameenda Kijiji cha Jirani kununua Sukari 😜
 
😂😂😂 Sema hizi chai za Idd Makengo unaweza kutukana bure km anazitunga kuwapanikisha
 
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.

Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.

Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.

Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.

X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.

Ingia @ajirapediathanks
Huyo X wako hakutaki. Nia yake ni kukuharibia tu. Kinachosikitisha ni kuwa inaelekea uko tayari kutoa mimba ili umfarahishe mtu ambae hastahili haka kidogo. Uko tayari kuua na kumnyima mtoto mtu aliyekupenda kwa dhati kwa ajili ya huyo mtu muovu! Haya sio mapenzi bali ni ujinga uliopitiliza. Umemsaliti baba mtoto wako halafu juu ya yote unavaa Pete ya magumashi ya huyo mjinga mwenzako!

Nakushauri usitoe mimba bali achana na baba mtoto maana huko mbeleni utamuumiza vibaya kijana wa watu. Heri m coparent tu huyo mtoto.

Amandla...
 
Kaa kwa machale kiufupi yani usipende kukaa maeneo private na huyo mwamba atakuondoa duniani.. ukipata walau chance ya kuaga utume neno E kisha tutapokea badge ya Tanzia humu.
 
HAMNA MUOAJI HAPO...Silaha ni iliyo mkononi,bandana na baba kijacho
 
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.

Alinisaidia sana kupona maumivu yangu; alikuwa ananijali, ananisikiliza, na kila kitu ananifanyia. Kaka, nilikuwa vizuri sana. Baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, na amemchukua rafiki yangu, niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu kaka ambaye niko naye.

Kweli nilimwambia, na alikubali, akanipeleka mpaka kwao. Shida, kaka, inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba. X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli, kaka, nilikuwa na hasira naye, lakini aliponitafuta nilihisi kuchanganyikiwa. Kwanza niliona kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.

Nilikubali kuonana naye, ingawa nilijaribu kuficha, lakini alitaka tufanye mapenzi. Akaona tumbo langu, nikawa sina namna zaidi ya kumwambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Aliumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwa sasa. Kusema kweli, nimekaa na kufikiria, sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.

X wangu aliniambia anataka kunirudia na anataka kunioa. Ameshanivalisha pete, ingawa siyo kwa sherehe, lakini kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake, kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka, naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana. Kumpenda simpendi, ni ile tu wakati ule nilikuwa na shida. Sitaki kumuumiza, nawaza nimuachaje ili asiumie.

Ingia @ajirapediathanks
Huyo mtoto akizaliwa atakuwa na laana ya kukomolewa akiwa kazini shuleni..... maaana alizaliwa sababu ya kumkomoa mtu .......
 
Yeyote anayemjibu huyu loser ni mjinga kama mimi.

Kiwango cha juu cha ujinga nabkujianika kijinga.

Hawa ni jamii ya watekaji maana wanahamasisha mijadala inayobomoa fikra na maadili
 
Back
Top Bottom