Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

Babe are you insane nikajua utanitag
Unataka kwenda Zanzibar peke yako?
Babu yeye atakuwa busy na bibi kule enhee we mwenzangu vipi?
Eeeeh tenaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Najiuliza, kama hawa ni wanafunzi wa chuo ndio wanafanya haya mambo, wasingeenda shule ingekuwaje? Ni zaidi ya wendawazimu.

Huyu Binti hata akili kumkaa sawa atambue kwamba huyo jamaa yake ni tapeli wa hisia hawezi?

Au ni chai?
huenda shule ndio zimewaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…