Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Uhakika ni kwamba by 2100 hakuna member active wa 2024 jf atakayekuwa hai. We will all be gone, zitabaki avatars na maandishi tu.
 

Inafikirisha sana. Ila kifo hakina mtu wa first class wala zero brain
 
kwa Neema na Baraka za Mungu tunaishi.

Tumshukuru Mungu kwa kila Jambo πŸ’
 
Hivi kama ni kweli kwamba hatuko naye, na jamii haina taarifa rasmi, na wenye mpini wanatengeneza mazingira ya kuonyesha yuko pamoja nasi na mitando yake ya kijamii kupost mambo kadhaa wa kadhaa hadi sasa,

Ikumbukwe huwezi kuficha msiba,
Je watakuja na gear ipi kwa umma ili kutoa taarifa, je watatangaza kuwa anaumwa kwanza au moja kwa moja ni tangazo la kukata moto?
 
Ni kama sielewi elewi nani kafariki
 
Ila mnatuchanganya nyie mnaongea kimafumbo sana
 
Ndio maana kila siku nnasemaga msiwapeleke watoto wenu shule za English Mediums kwa sababu mnahangaika kulipa mamilioni ya nini kama mwisho wa mtu ni kufa.

Haya sasa twende kazi, haraka sana kamata watoto wako wanao soma English Mediums wapeleke shule za Kayumba haraka sana. Thank me later πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»

Ila kama Uzi huu unahusika na kumuombea mtu kifo basi nikwambie mtoa Uzi utaanza kufa wewe.
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Hata ukiishi kwa fujo na ghasia kufa kupo palepale.


Hata ukipanda kwenye ndege bado wewe ni mzigo vilevile.
(Traffic load/Payload) Kwa kampuni.

Ukifa unabadilika tu na kuitwa Cargo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…