Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

Usimlaumu Rais kutenguwa baadhi alio wachaguwa na kuwateuwa wengine hiyo ndio kazi yake Rais. Walaumu wale wanaompa ushauri mbovu wa kuwachaguwa hao anawao teuwa kuwapa uongozi halafu baada ya muda mfupi tu anawatenguwa na kuwateuwa wapya.
 

Kwa mtazamo wangu, kaletwa mahsusi kudeal na Tanganyika Law Society (TLS), kubadili/kufanyia marekebisho sheria yao hasa Section 4. Utakumbuka alichokifanya akiea kwenye wizara hii kipindi cha Magufuli na badae alipoingia Mwakyembe
 
Saikolojia ya upinzani, the way I thought ilikuwa ni kuwajaza vijana ghadhabu na hasira, lengo kuu yatokee ya Kenya!, "They were aiming to ignite a spark"
 
TISS hua ni washauri tu.

Yaani ukitaka kumteua kiongozi fulani, Wao wanakuletea faili lake la mema na mabaya ila mwenye maamuzi ni wewe kwa sababu ni serikali yako, ukifaulu au ukifeli ni wewe hakuna wa kumlaumu kwa kua uko na kila kitu mezani
 
Waziri huyo huyo last time alitufanyia vituko, kutuletea vitu vya ajabu. Huu mfumo wa nchi una white wash mawaziri wanao under perform? Jaman mbona kuna pontential people kuliko hao watu ?
Tanzania watu wenye akili hakuna hata hao unaoona wana akili wakipewa nafasi hakuna wanachofanya
 
ALIEWATEUA NDIYE ANAJUA MAANA NA KWA NINI ALIWAONDOA NA KWA NINI SAIZI KAAMUA KUWARUDISHA,NA SIYO LAZIMA AKUELEZE WEWE WHY ALIMUONDOA NA WHY SASA ANAMRUDISHA,RAIS NI TAASISI KUBWA.
 
Huyu mama is so confused

Hajui anafanya nini

Desperation is real...anataka kubaki madarakani hajui afanye nini

Atajijua mwenyewe
 
Kula Kwa urefu wa kamba
 
Kabudi ni mtu sahihi hiyo wizara,ispokuwa rais alipotoshwa kumuondoa,na kagundua hilo ndio maana kamrudisha
 
Late jpm, alikuwa na watendaji wazuri kwa kiasi fulani, mf. Kalemani, huyu akirudishwa hakuna ubaya wowote, tena akapewa wizara/shirika pasua kichwa kama TTCL,endapo aliimudu Tanesco mbovu ya wakati ule, kipi kitamshinda?

Magufuli ali practice meritocracy na ndiyo maana unaona alikuwa na timu nzuri na siyo kwenye uwaziri tu hata kwenye positions nyingine aliteuwa watu wazuri kichwani au qulified atleast alijaribu kupromote hard work ndiyo maana akaita flyover la Ubungo Mfugale kama reward ya hard work kwa Mfugale wa tanroads na motisha kwa wengine kujituma ilikuwa ni mara ya kwanza tanzania kufanya jambo kama hilo nafikiri tulizoea kubatiza wanasiasa kila mahali, alipambana na vyeti feki kwa sababu alipractice meritocracy na ndiyo sababu mengi makubwa yalifanyika ndani ya muda mchache sana …
 
Mama anaupiga mwigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…