Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kosa la huyo jamaa ni nini?Mafi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa la huyo jamaa ni nini?Mafi yako
you are very objective ,though we differ in some threads of yours 👊👊👊🙏🙏👏Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Umemaliza mjadala.Unahangaika mzee,hivi huna kazi za kufanya unashinda unamfuatilia huyo mama au ni mke mwenzio mmechangia mme?
Wewe mwehuNI MAAMUZI YAKE HAYANA SHIDA
Basi amrudishie Chalamila u RC wake mwanzaSasa kama kakubali mabango si ndo kakubali demokrasia na uhuru wa maoni?
Wewe ulitakaje aendelee kukataaa?
Binadamu siyo jiwe tunabadilika kutokana na mazingira tuliyopo,
Kwa maendeleo yapi aliyoyaleta? Msipende mpaka mkawa wapumbavuu.Umeanza kichwa cha habari vizuri umeharibu uliposema maua kuwekwa Chato.Hakuna asiyejua juhudi zilizofanywa na JPM katika harakati za maendeleo kwa nchi hii na Afrika kiujumla.Nadhani hata Nyerere huko alipo alifurahi sana na angependa miaka yote shughuli za Mwenge zihitimishwe Chato,Kwa heshima ya shujaa mwenzake wa Afrika.
Kwa Hangaya tumepigwa big timeHakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Umeelezea vizuri sana.Watu tunauelewa tofauti sana,,Mhe.Rais kusema hataki mabango mimi nilielewa kuwa kero za wananchi zishughulikiwe na viongozi wa ngazi husika siyo mpaka yeye afike wananchi walalamike kwa mabango.
Unaanza kujua kiswahili vizuri,hongera,ila apo muliosapoti duhDuh!!!..
Kama huwa hamuelewi.. muulize kwanza..
Na muliosapoti.. wote muwone aibu..
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Mwache mama afanye kazi, angalau anayakusanya na kuyafanyia kazi. Yule mwingine alikuwa anayadharau na kuwatishia wanaobebaHakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
hahahaha mkuu hiyo I'd Yako na avatar hua zinanifurahisha SanaKigeu geu. Amepoteza direction kabisa
Hiyo sentensi ya mwisho imenikumbusha mistari ya mwanadada gaidi, Zay‐B wa enzi zetu zileee katika kile kibao chake cha 'niko gado' alichomshirikisha mzee wa kibra, sir natureHuyu mtoa Mada ana utindio wa ubongo. Mimi nahisi wenzake Wana mgonga .
Mazaga ni mataga kutoka zanzibar.NI MAAMUZI YAKE HAYANA SHIDA