peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mwezi mmoja, wamefariki watumishi wawili muhimu ndani ya ofisi moja, tena ofisi muhimu,then uwaambie watu zaidi milion 60 msikilize kaeni kimya?Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake....
Ile sumu ya comrade kibiongoUlisikia kuhusu kuumwa kwa makamu mwenyekiti wa chama chako?
Heri ya mama Samia alau amekemea tabia hizi zimelelewa kitambo na hakuna aliyepata kuzikemea kwa maana wako wanaofaidika nazo "hafi mswahili ila karogwa!!"Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake....
Wewe jiondoe ufahamu maana jana mama kashasema kabisaMusiba yuko Chadema na mchange!
Mwanaharakati huru unaweza kutueleza yupo wapi siku hizi?Nilisikia Sumaye akiogopa kuonja sumu hapo Ufipa!
Nimekuelewa bwashee!Heri ya mama Samia alau amekemea tabia hizi zimelelewa kitambo na hakuna aliyepata kuzikemea kwa maana wako wanaofaidika nazo "hafi mswahili ila karogwa!!" Bado tabia za kibaguzi zilizolelewa na chama kile kikuu kama walivyomkataa SAS ati mwarabu na mara alitoka upinzani... kama walivyomkataa EL ati tajiri hawezi kutawala!!! Na upuuzi mwingi mwingineo.. Bomu lililoyengenezwa linaendelea kututafuna
Hahahaaaa....... Kazi Iendelee!Wewe jiondoe ufahamu maana jana mama kashasema kabisa
Muulize Mbowe!Mwanaharakati huru unaweza kutueleza yupo wapi siku hizi?
Chain yenu yote inajulikanaHahahaaaa....... Kazi Iendelee!
Inaonekana unao ushahidi Mkuu na mmeombwa muuwasilishe kunakohusika ili watuhumiwa washughulikiwe kinyume na hivyo itaonekana upuuzi mtupuChacha wangwe aliuawa na Mbowe
Fikiria kama masihara lkn ukweli utajulikanaMuulize Mbowe!
Veronica france musiba mulaga alizoea kuishi kwa umbea maisha yamemvalia bukta akutegemeaMwanaharakati huru unaweza kutueleza yupo wapi siku hizi?
Hao ni kundi la kina musibaInaonekana unao ushahidi Mkuu na mmeombwa muuwasilishe kunakohusika ili watuhumiwa washughulikiwe kinyume na hivyo itaonekana upuuzi mtupu
Mbowe analia na kivuli cha Halima James Mdee ( KUB)Chain yenu yote inajulikana
Sasa inabidi aikimbie nchi maana uongozi umebadilika na wala asijidanganye kuishi kwa mazoea.Veronica france musiba mulaga alizoea kuishi kwa umbea maisha yamemvalia bukta akutegemea
Time will tellMbowe analia na kivuli cha Halima James Mdee ( KUB)
Ukweli wa mwenyekiti kumdedisha Chacha Wangwe?Fikiria kama masihara lkn ukweli utajulikana