Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
aliwaza akina nani nduguAcha kudanganya umma Bible iko wazi mimba ndio iliingia Kwa namna isiyo ya kawaida ila kuzaa alizaa kawaida hiyo bikra inabaki vipi soma vzr Biblia yako msipende kuburuzwa Hata kwenye mambo yaliyo wazi
Na ukumbuke alizaa watoto wengne nje na Yesu ni nani kakuambia nao mimba zao ziliingia kimiujiza?
Demu wa Yuzzo na Tanganyika wetu wanahusianaje?Kwa nini. Are you an atheist? I'm sorry for your going to hell
Pitia comments nilishajib mathayo 13:55 -56aliwaza akina nani ndugu
Absolutely.Mariam mpaka anakufa alikuwa ameshazaa! Na bikra akishazaa haitwi bikra tena,ni mama watoto,
(Mathayo13:53-56)
Mariamu hawezi kuilinda nchi au kutulinda sisi kwa sababu alishakufa na yeye anasubiri ufufuo!
Absolutely.
Ni Ukatoliki pekee, of all people in the world, ndio wanaweza kukwambia mchana ni usiku na usiku ni mchana, na wala wasihisi hatia wala mkwamo wowote wa dhamiri.
Inasemekana kwamba Ukatoliki ukiingia kwenye chumba fulani, Shetani mwenyewe anasimama kutoa heshima zake.
Until you learn more is when you get to understand catholic. Kanisa halitakagi wajinga wajinga. Wajinga wote wanaendaga kwa mitume kam akina mwamposaAbsolutely.
Ni Ukatoliki pekee, of all people in the world, ndio wanaweza kukwambia mchana ni usiku na usiku ni mchana, na wala wasihisi hatia wala mkwamo wowote wa dhamiri.
Inasemekana kwamba Ukatoliki ukiingia kwenye chumba fulani, Shetani mwenyewe anasimama kutoa heshima zake.
Kama ni Mariamu ndiye unazungumzia, kamwe katu hakujifungua kimuujiza tofauti na wanawake wengine.Alizaa kwa mpango wa Mungu na kila kitu kwa mungu kinawezekana. Hakuwahi kuingiliwa na mwanamme yeyote hivyo ni bikra mpaka leo.
Hakufa bali alipalizwa mbinguni mwili na roho
Taja watoto wengine wa bikra maria mbali na mwanae yeau.Kama ni Mariamu ndiye unazungumzia, kamwe katu hakujifungua kimuujiza tofauti na wanawake wengine.
Ni kwamba alipata mimba (siyo kujifungua) kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Yusufu aliambiwa asimwache (alipodhani ana mimba ya zinaa), ikiwa na maana kwamba alimwoa akawa mkewe na wakazaa wana na mabinti wengine.
Bila shaka Mariamu alifariki na kuzikwa kama wanadamu wengine akina Magdalene, Petro, Tabitha, Eunike, Yohane na hata Mtume Paulo.
Kwamba Mariamu alipaa mbinguni? Hilo si ufunuo wa Biblia.
Ukatoliki ni laana kwa dunia.
Ni wapi kwenye Biblia ambapo Yusufu alizuiwa kukutana kimwili na Mariamu?Taja watoto wengine wa bikra maria mbali na mwanae yeau.
Bikira maria hakufa aliparizwa mbinguni mwili na roho.
Kumbuka kifo ni matikeo ya dhambi na bikra maria hakuwa na dhambi ndo mna aalimzaa yesu.
Sima.mathoyo inazungumza kuwa bikra maria alikingiwa dhambi ya asili
Si kweli, hii nchi ilibarikiwa kitambo hata kabla ya Yesu na Mohammed na manabii wote wa uwongo uwajuao wewe toka kwenye hivi vitabu vilivyotungwa na shetani na watu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana, sema tu wananchi wake kichwani hamnazo.Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Duu Wakoloni walituweza😀😀Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
We Jamaa kumbe hata unachokitetea hukijui...ndio maana kumbe ni bogus.Nioneshe kifungu kinachosema aliendelea kuzaa baada ya kumzaa yesu
Wataje watoto wake wengine mana we ndo unawajua peke yakoWe Jamaa kumbe hata unachokitetea hukijui...ndio maana kumbe ni bogus.
Mariam alizaa watoto wengine na sio mmoja.
Soma MATHAYO 13: 54- 57Wataje watoto wake wengine mana we ndo unawajua peke yako