Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Simple atembee sanctions ndani ya nyumba .kwanza apunguze bajeti ya chakula na mambo mengine
 
Hi kasumbaaa,ya kichukia wageni vijana wa kisasa mmetoa wapi,enzi zetu tulikuwa tunapenda wageni,tuna mashambaa,mifugo,chakula kikipikwa hatupimi,kina pikwa kwenye sufuria kama la sherehe.mgeni siku ya kwanza ya pili,kama ni vijana wote shambani,wengine machungani,kina mama kutafta kuni,na kukamua maziwa
 
Ushajibu mashamba yalikuwepo nakumbuka miaka hiyo. Pasheni, ndizi, papa, viazi, mihogo, miwa, karanga, Magembe, senene hivi vyote vilikuwa vya kuchukua tu shambani Leo mkuu pameshakuwa mjini

Lakini leo Kila kitu ni kununua kwahyo ni ngumu Kuhandle wageni
 
Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo

Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.

Na wanapeleka msosi ni balaa.
😂😂😂🤣🤣
 
We bado mtoto mdogo haujabanwa na majukumu .Oa kwanza zaa watoto watano ishi mjini halafu kazi yako yakuungaunga halafu waje ndugu wa mke kama saba wakae kama mwezi.

Utakuja kutupa mrejesho.
Pole mkuu.
 
Babu umejiandaaje ukioa sehemu halafu ukoo mzima wa mkeo unahamia kwako?
Nae hitaji kumuoa kwao wamezaliwa 2, yeye namdogo wake. Mimi kwetu tumezaliwa 3. Lakini pia namshukuru Mungu nauwezo wa kugawana riziki na baadhi ya familia hata kabla sijaoa, naamini hata ndugu wa mke wangu nikioa ntagawana nao riziki kadri ntakavyojaliwa.
 
Hivi ninaposema ndugu unaelewa vizuri au huelewi?
 
Unajipa moyo
Sijipi moyo, mama yangu mpaka sasa anatimiza miaka 70 lkn kwetu tuko mtu tatu tu na hukuna mtu anategemea mwingine. Naehitaji kumuoa mdogo wake yupo chuo kikuu anasoma civil Eng. Na mama yake na Mzee wake ni 50+, ndugu wa damu ndio huwa mtihani lakini Hawa wengine nao wanashemeji zao , wakwe zao tofauti na wewe. Jambo la kukushauri angalia familia unayotaka kuoa kisha ujipime kama utaiweza.

Nyumba yenye baraka ndio hutembelewa na wageni.
 
WAPARE
 
Hilo kabila ni wasambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…