zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Toa sababuNimefanya makosa mengi duniani lakini kosa ninaloliogopa zaidi ni kuoa mpare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa sababuNimefanya makosa mengi duniani lakini kosa ninaloliogopa zaidi ni kuoa mpare
Si kweli, hakuna kabila yenye majivuno kama wanyakyusa. Wanyakyusa hata wawe maskini kiasi gani huwa hawapendi kujishusha na kujikomba.Demu atakuwa mnyakyusa
wakina tuntufyeDemu atakuwa mnyakyusa
Ushajibu mashamba yalikuwepo nakumbuka miaka hiyo. Pasheni, ndizi, papa, viazi, mihogo, miwa, karanga, Magembe, senene hivi vyote vilikuwa vya kuchukua tu shambani Leo mkuu pameshakuwa mjiniHi kasumbaaa,ya kichukia wageni vijana wa kisasa mmetoa wapi,enzi zetu tulikuwa tunapenda wageni,tuna mashambaa,mifugo,chakula kikipikwa hatupimi,kina pikwa kwenye sufuria kama la sherehe.mgeni siku ya kwanza ya pili,kama ni vijana wote shambani,wengine machungani,kina mama kutafta kuni,na kukamua maziwa
🤣😂🤣Demu atakuwa mnyakyusa
😂😂😂🤣🤣Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo
Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.
Na wanapeleka msosi ni balaa.
Pole mkuu.We bado mtoto mdogo haujabanwa na majukumu .Oa kwanza zaa watoto watano ishi mjini halafu kazi yako yakuungaunga halafu waje ndugu wa mke kama saba wakae kama mwezi.
Utakuja kutupa mrejesho.
Nae hitaji kumuoa kwao wamezaliwa 2, yeye namdogo wake. Mimi kwetu tumezaliwa 3. Lakini pia namshukuru Mungu nauwezo wa kugawana riziki na baadhi ya familia hata kabla sijaoa, naamini hata ndugu wa mke wangu nikioa ntagawana nao riziki kadri ntakavyojaliwa.Babu umejiandaaje ukioa sehemu halafu ukoo mzima wa mkeo unahamia kwako?
Magu alikundindua bila mafutaHaya mambo ya ubaguzi aliyaleta Magu, nchi hii inahitaji uponyaji yule bwana aliiharibu sn nchi yetu itachukua muda kurudisha umoja wa kitaifa. Siku hz mada za ukabila zimejaa humu.
Hivi ninaposema ndugu unaelewa vizuri au huelewi?Nae hitaji kumuoa kwao wamezaliwa 2, yeye namdogo wake. Mimi kwetu tumezaliwa 3. Lakini pia namshukuru Mungu nauwezo wa kugawana riziki na baadhi ya familia hata kabla sijaoa, naamini hata ndugu wa mke wangu nikioa ntagawana nao riziki kadri ntakavyojaliwa.
Naelewa ndugu, watoto wa shangazi, mjomba, kaka, dada, mama mdogo, mama mkubwa. Lakini pia watu ambao kwao Wanahulka yakua wachache huwa hawana ndugu wengi ndio mantiki yangu.Hivi ninaposema ndugu unaelewa vizuri au huelewi?
Unajipa moyoNaelewa ndugu, watoto wa shangazi, mjomba, kaka, dada, mama mdogo, mama mkubwa. Lakini pia watu ambao kwao Wanahulka yakua wachache huwa hawana ndugu wengi ndio mantiki yangu.
Huyo bado mtoto anafikiri ndugu ni kaka na wazazi wa mke tu.Hivi ninaposema ndugu unaelewa vizuri au huelewi?
Sijipi moyo, mama yangu mpaka sasa anatimiza miaka 70 lkn kwetu tuko mtu tatu tu na hukuna mtu anategemea mwingine. Naehitaji kumuoa mdogo wake yupo chuo kikuu anasoma civil Eng. Na mama yake na Mzee wake ni 50+, ndugu wa damu ndio huwa mtihani lakini Hawa wengine nao wanashemeji zao , wakwe zao tofauti na wewe. Jambo la kukushauri angalia familia unayotaka kuoa kisha ujipime kama utaiweza.Unajipa moyo
WAPARENi kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao
Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,
Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.
Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.
Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Hilo kabila ni wasambaaNi kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao
Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,
Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.
Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.
Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Wapare hapana tena ni big noMakabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana