chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Pole. Walikufanyia nini mkuu😀Nimefanya makosa mengi duniani lakini kosa ninaloliogopa zaidi ni kuoa mpare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole. Walikufanyia nini mkuu😀Nimefanya makosa mengi duniani lakini kosa ninaloliogopa zaidi ni kuoa mpare
Mi mwenyewe hata kama duniani tupo wawili, mimi na mpare, sioi, bora nibaki mwenyeweNimefanya makosa mengi duniani lakini kosa ninaloliogopa zaidi ni kuoa mpare
Wapare wanapenda miteremko hata kama ni wa kiumeSi kweli, hakuna kabila yenye majivuno kama wanyakyusa. Wanyakyusa hata wawe maskini kiasi gani huwa hawapendi kujishusha na kujikomba.
Itakuwa aidha wapare maana wanapenda mteremko au Wasukuma maana ni malimbukeni wa maisha.
ChaiZamani ishu ya makabila ilikuwa na maana Sana Ila sasa hivi mambo yamebadilika. Ukioa Kwa kuangalia kabila, utakwama. Chunguza tabia za mhusika na maisha ya wazazi wake kama hawapo angalia ndugu zake wa karibu.
Maisha ya kwenda kukaa Kwa mtu bila shughuli yoyote ni ufenenge Sana.
Wakati naisoma hi nilidhania hivo pia, alipozungumza habari za uvivu kidogo nikabadiri mawazo; mtazamo wangu ulikua either huyo dada ni Msukuma wa Shinyanga/Simiyu au Muha wa Kigoma ingawa hawa wote hawana sifa za UVIVU but ukioa, jipange. Unaweza jikuta unasomesha hadi mtoto wa shemeji zakoHuyo mwanamke lazima atakuwa ni msukuma😂
Wapare watoe hapoSi kweli, hakuna kabila yenye majivuno kama wanyakyusa. Wanyakyusa hata wawe maskini kiasi gani huwa hawapendi kujishusha na kujikomba.
Itakuwa aidha wapare maana wanapenda mteremko au Wasukuma maana ni malimbukeni wa maisha.
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumsingizia JPMHaya mambo ya ubaguzi aliyaleta Magu, nchi hii inahitaji uponyaji yule bwana aliiharibu sn nchi yetu itachukua muda kurudisha umoja wa kitaifa. Siku hz mada za ukabila zimejaa humu.
Kabisa mkuu, c unaona mambo bado yanaendelea na jamaa amekufaMagufuli alisingiziwa mambo mengi sana.
Labda kama wewe ni mganga nguli.Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Niamini brotherLabda kama wewe ni mganga nguli.
Dah basi itabidi nirejee darasani kujifunzaWapare hapana tena ni big no
Mpare??Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Dah 🙌🙌basi itakuwa huyu naemuona hapa jirani yangu ni specialM
Mpare??
Wewe jiheshimu sana wasukuma hatuko hivyo,lini msukuma akose kazi akakae Kwa watu bila kutafuta kazi,sisi ni watu wa kazi kazi sio huo uzembe unaotajwa na mtoa mada.Huyo mwanamke lazima atakuwa ni msukuma[emoji23]
Mnasahau Wasambaa na WaziguaHilo kabila lazima watakuwa Wakerewe
Nao ni wakorofi ajabuVijana kwa naomna youote nawaasa usioe MJITA kama wewe sio wa kabila hilo.
Ukizingatia hili utaja nishukuru.