Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Si kweli, hakuna kabila yenye majivuno kama wanyakyusa. Wanyakyusa hata wawe maskini kiasi gani huwa hawapendi kujishusha na kujikomba.

Itakuwa aidha wapare maana wanapenda mteremko au Wasukuma maana ni malimbukeni wa maisha.
Wapare wanapenda miteremko hata kama ni wa kiume
 
Zamani ishu ya makabila ilikuwa na maana Sana Ila sasa hivi mambo yamebadilika. Ukioa Kwa kuangalia kabila, utakwama. Chunguza tabia za mhusika na maisha ya wazazi wake kama hawapo angalia ndugu zake wa karibu.
Maisha ya kwenda kukaa Kwa mtu bila shughuli yoyote ni ufenenge Sana.
Chai
 
Huyo mwanamke lazima atakuwa ni msukuma😂
Wakati naisoma hi nilidhania hivo pia, alipozungumza habari za uvivu kidogo nikabadiri mawazo; mtazamo wangu ulikua either huyo dada ni Msukuma wa Shinyanga/Simiyu au Muha wa Kigoma ingawa hawa wote hawana sifa za UVIVU but ukioa, jipange. Unaweza jikuta unasomesha hadi mtoto wa shemeji zako
 
Vijana kwa naomna youote nawaasa usioe MJITA kama wewe sio wa kabila hilo.
Ukizingatia hili utaja nishukuru.
 
Hizo ni tabia za kabila au za mtu binafsi 🤔
 
Kila mtu hapa Kabila lake ni bora kuliko la mwingine,so oa mtu unayedhani atakuwa mtiifu,mnyenyekevu na atakupenda, recently makabila yamebaki majina tu, kwasababu mtu kutokana na kutafuta maisha anaweza kuzaa watoto nje kabisa ya kabila lake,na Waka adapt mazingira yanayowazunguka pale walipozaliwa.

NB:Japo kuna mazingira vijana mkishauriwa msipuuze
 
Back
Top Bottom