Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Usalama wa wahaini wanaotumika na mabeberu hauko salama,, we kama huna shida yeyote kwanini uwe na hofu,,,,hofu lazima uwe nayo kama unacheza michezo michafu..........andaeni barua nyingi kwenda kwa wazungu safari hiiImekuwa too much aisee, mpaka wanaohisiwa kufanya hayo matukio wanatajwa lakini hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa. Hii inaonyesha usalama wa Wananchi haupo salama. Na rais ndiye mkui wa vyombo vya ulinzi na usalama. Na leo anakuja anaongea maneno mepesi mepesi as if watu wanavyotekwa na kuuwawa ni kama sio binadamu.