Aliuawa Mwangosi haikusemwa Rais Must Go, akauawa Mawazo haikusemwa Rais Must Go na hata alivyoshambuliwa Lissu. Nadhani Hoja iko hapo!

Imekuwa too much aisee, mpaka wanaohisiwa kufanya hayo matukio wanatajwa lakini hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa. Hii inaonyesha usalama wa Wananchi haupo salama. Na rais ndiye mkui wa vyombo vya ulinzi na usalama. Na leo anakuja anaongea maneno mepesi mepesi as if watu wanavyotekwa na kuuwawa ni kama sio binadamu.
Usalama wa wahaini wanaotumika na mabeberu hauko salama,, we kama huna shida yeyote kwanini uwe na hofu,,,,hofu lazima uwe nayo kama unacheza michezo michafu..........andaeni barua nyingi kwenda kwa wazungu safari hii
 
Nadhani watu wamechoka kuvumilia. Usione watu wapo kimya kitaa. Wanaugulia moyoni.
Hahaha, Watu wanachokea kwa Samia kwa JPM wanaweza vumilia kidogo.
 
Hivi kigezo cha ccm ni upungufu wa akili na ufahmmu au!!!🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu 😀
Nadhani ule ushauri wa "kunyamaza" alio utoa Samia wakati akijua hana la maana la kuongelea mbele za watu inabidi nawe uanze kujifikiria juu yake.
Sijawahi hata siku moja kusoma jambo ambalo umelielezea wewe na likawa la "kweli" ndani ya jukwaa hili la JF.
Kila mara ni mipasho ya kinafiki tu basi!
Kwa bahati mbaya, hili sikuwahi kuligundua hadi hivi karibuni ndipo nilipo elewa ajenda inayokuweka hapa.
 
Nani hao wameipunguza. Hujui hilo ni jukumu la nani?
Hivi akili yako imekuwaje mara hii, mbona unazidi kudidimia kabisa? Kidogo ulikuwa na nafuu huko nyuma, ulikuwa ukivumilika kidogo; sasa mbona umevurugikiwa zaidi?
Kuna kitu gani kinaendelea katika maisha yako wakati huu. Kuyumba kwa CCM chini ya Samia kunatishia hali zenu?
Kalamu Usiwe Mjinga Ben Saanane hadi leo haijulikani ilikuwaje japo Mbunge wenu Saed Kubenea alisema kuna mahali alikuwa anamkuta akisoma Magazeti

Bwana mdogo Kalamu Siasa za Tanzania ni Zaidi ya Sihasa! 🐼
 
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji

Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo

Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima

Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?

Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"

Ahsanteni

Mlale Unono 🐼
Hivi karibuni, Wizara ya afya ilishasema mmoja kati ya watu 4 ana tatizo la afya ya akili
 
Nadhani ule ushauri wa "kunyamaza" alio utoa Samia wakati akijua hana la maana la kuongelea mbele za watu inabidi nawe uanze kujifikiria juu yake.
Sijawahi hata siku moja kusoma jambo ambalo umelielezea wewe na likawa la "kweli" ndani ya jukwaa hili la JF.
Kila mara ni mipasho ya kinafiki tu basi!
Kwa bahati mbaya, hili sikuwahi kuligundua hadi hivi karibuni ndipo nilipo elewa ajenda inayokuweka hapa.
Ukimuelewa Boniyai na Yericko inatosha 🐼
 
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji

Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo

Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima

Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?

Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"

Ahsanteni

Mlale Unono 🐼
Endeleeni kujifunza ujinga
 
Kwa hiyo anapendelea na kupendekeza nani akiuawa ndiyo watu wachachamae?Ni jambo jepesi tu.Achague hata watatu ila asiache na watoto wake.
 
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji

Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo

Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima

Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?

Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"

Ahsanteni

Mlale Unono 🐼

PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

- Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika
Kwa kweli point hiko hapo!!!! mtu kufa kuna sababu kubwa sana
 
Kalamu Usiwe Mjinga Ben Saanane hadi leo haijulikani ilikuwaje japo Mbunge wenu Saed Kubenea alisema kuna mahali alikuwa anamkuta akisoma Magazeti

Bwana mdogo Kalamu Siasa za Tanzania ni Zaidi ya Sihasa! 🐼
Unanieleza upuuzi.
Ukomo wa upumbavu wenu umefika mwisho sasa.

Unapenda sana kuokoteza hivi vihabari vya zamani na kihistoria, halafu unavitengeneza vikuaminishe upumbavu mwenyewe, na hapo hapo ukitaka na wengine wawe sawa na wewe!

Huo mstari wa mwisho ni uchizi tu unakutuma uandike hivyo. Huna hata moja linalokuhusu unaloweza kulinganisha kwa jambo lolote.
 
Huyo mama yenu anapwaya sana!

Mmeshindwa kuwakamata watekaji naona mmeona njia pekee ya kumnasua ni kupitia mgongo wa dini na jinsia.

Kama ameona hawezi aachie ngazi watu hawawezi kuwa wanatekwa na kuuwawa kikatili yeye anasingizia mbona kwa jirani napo wanakufa.
 
Back
Top Bottom