Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Mkuu hata DRC haikuamka siku moja na kujikuta hapo. Think nje ya box
Mleta mada yupo sahihi kabisa mipango yote hii miovu ilianzia 2012 !
Na hii ilifanyika makusudi ili kuwalinda na kuulinda ule Ufisadi uliokuwa umeshashamiri. !
Kidogo Magufuli alitaka kwenda tofauti nao lakini upinzani hawakumuelewa ndio naye akabadili muelekeo akaamua kuwa One Man Show !!
 
Tatizo njaa.Mwenye njaa ukimwambia apande kwenye transformer aibe mafuta anapanda.
Jeshi la kufanya hivyo litatoka wapi? Congo linalofanya vile ni Jeshi sio Raia wa kawaida
 
Mwashambwa..Tlaatlah...Mwijaku, Babalevo...vijana wenye mchango mdogo mnoo kwa taifa
 
Jeshi la kuiondoa CCM lipo wapi unafikiri raia huo ubavu mnao?
 
Ndio nimekuuliza hilo Jeshi la kuwatimua CCM mnalo na linatokea wapi?

Hii nchi haitapasuka kwa sababu ya CCM.

Nimekuambia, kupasuka kwa hii nchi kutatokea Kanda ya Ziwa.

Wakati ukifika itajulikana. Ila sio siku za hivi karibuni.
Kwa macho ya rohoni tunaona Jambo hilo litatokea ukanda huo. Na ukabila ndio utakuwa Sababu kuu.

Kwenye ukabila usiulize Jeshi litatokea wapi
 
H
Ndio nimekuuliza hilo Jeshi la kuwatimua CCM mnalo na linatokea wapi?
Hukumuuliza yeye umeniuliza mimi ndio maana nikaamua kucheka maana naona hii mada imekuchanganya sana πŸ˜‚πŸ˜…
 
Sasa mpasuko wa Kanda ya Ziwa na CCM wapi na wapi? Hivi nyi mnafikiri mambo ni rahisi hivyo?
 
Ndio useme Jeshi hilo linatokea wapi? Congo Jeshi limetoka Rwanda kila mtu anajua haya na Tanzania Jeshi litatoka wapi?

Rwanda haina nguvu yoyote ya kuiletea fujo Congo.
Kinachoendelea ni wacongo wenyewe wa ukanda WA Kivu.
 
Andiko Bora kabisa la Leo. Ccm watapinga. Watakwambia Hali ni shwari kabisa.
 
Sasa mpasuko wa Kanda ya Ziwa na CCM wapi na wapi? Hivi nyi mnafikiri mambo ni rahisi hivyo?

Mtoa Mada ametumia tuu CCM kama sehemu ya kueleza kile anachotaka kitokee

Mambo sio rahisi ndio maana Mpaka sasa hayajatokea
 
H

Hukumuuliza yeye umeniuliza mimi ndio maana nikaamua kucheka maana naona hii mada imekuchanganya sana πŸ˜‚πŸ˜…
Wewe unafikiri Congo wanaoliamsha na kumtia jambajamba Tshekedi ni raia wa kawaida, ni Jeshi imara ambalo linajambisha kila anaesogeza pua yake kule mpaka wameufyata mkia wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…