Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #141
Uzi umejieleza kwa mifano iliyoshiba. Endeleeni na hizo tabia za uchawa. Yakitimia tutakumbushana.Uzushi mtupu
Unasahau muasisi wa taifa Mwl Nyerere ndiye muasisi wa ccm
Short memories
Sasaivi CCM ndo kisima cha wajinga na wehu wanaojifanya wajuaji na Wazalendo.Mzeee naaona Leo unapata posho simba🦁
Si kwa hicho kibess ulicho mchimba JAMAA.
Kwanza historia ya Mobutu hauijui vizuri ndio maana unaongea vitu visivyo nimekwambia Congo kinachosumbua Serikali ni Jeshi la M23 sio raia wa kawaida elewa ninaposema Jeshi na raia wa kawaida najua unajua kumtofautisha Mwanajeshi na Civilians kwa hio haikusumbui akili hapo, sasa njoo huku unaposema patakua km Congo kwa Jeshi lipi linaloweza kufanya hivyo? Mboni hio point unairuka na kuikimbia? Au wewe unafikiri M23 ni kikundi cha wacheza Vicoba, Upatu na Sacosi somewhere nchini Congo?Endelea kuamini unavyoamini. Uzi umejieleza wapi. Kuna hadi link ya Congo ya Mobutu ilivyokuwa.
Kama huko Lumumba hawajakupa bando la kutosha waambie wakupe soma vizuri na angalia vizuri kila kitu.
Itakusaidia badae yakija kutimia.
Muda upi wewe acha ndoto zako za Mchana umeshakula kwanza au njaa inakusumbua?Muda utaongea. Mungu atupe uhai
Hakuna maono hapo wana Jeshi gani hao kanda ya Ziwa linaloweza kufanya km M23?Maono
Kweli tupu na hayana logic Wala uwezo wa kufikiri sawa sawa..Sasaivi CCM ndo kisima cha wajinga na wehu wanaojifanya wajuaji na Wazalendo.
Jiji la MbeyaLubumbashi ndio Kama wapi vile..
Kwa uelewa wangu wa kawaida Rwanda inahusishwa na huo mgogoro kwa sababu kadhaa wa kadhaa ila moja wapo ni kwamba Kagame KP au PK analifadhiri hilo kundi la M23 kwa kuliunga mkono kwamba linachokifanya ni sahihi na hata video zipo zinazoonyesha akifanya hivyo waziwazi hata Felixè Tshekedè analijua hilo na ulimwengu wote unalielewa hilo halifichiki lipo waziKwa uelewa wako kwa nini Rwanda wanahusishwa na huo mgogoro na sio Tanzania, Burundi, Angola?
Tanzania HAITAKUWA kama Congo. Kama unaiombea Tanzania kufika huko nami nakuombea muda huo ukigika, kizazi chako chote kipotee na Tanzania hiyo unayoitaka.Mkuu hata DRC haikuamka siku moja na kujikuta hapo. Think nje ya box
Huwezi kuelewa...we endelea kukata mauno cheza kadansee tuKwanza historia ya Mobutu hauijui vizuri ndio maana unaongea vitu visivyo nimekwambia Congo kinachosumbua Serikali ni Jeshi la M23 sio raia wa kawaida elewa ninaposema Jeshi na raia wa kawaida najua unajua kumtofautisha Mwanajeshi na Civilians kwa hio haikusumbui akili hapo, sasa njoo huku unaposema patakua km Congo kwa Jeshi lipi linaloweza kufanya hivyo? Mboni hio point unairuka na kuikimbia? Au wewe unafikiri M23 ni kikundi cha wacheza Vicoba, Upatu na Sacosi somewhere nchini Congo?
Kwa uelewa wangu wa kawaida Rwanda inahusishwa na huo mgogoro kwa sababu kadhaa wa kadhaa ila moja wapo ni kwamba Kagame KP au PK analifadhiri hilo kundi la M23 kwa kuliunga mkono kwamba linachokifanya ni sahihi na hata video zipo zinazoonyesha akifanya hivyo waziwazi hata Felixè Tshekedè analijua hilo na ulimwengu wote unalielewa hilo halifichiki lipo wazi
Ndy ishakuwaTanzania HAITAKUWA kama Congo. Kama unaiombea Tanzania kufika huko nami nakuombea muda huo ukigika, kizazi chako chote kipotee na Tanzania hiyo unayoitaka.
Hahahaa......we jamaa unachekesha sanaTanzania HAITAKUWA kama Congo. Kama unaiombea Tanzania kufika huko nami nakuombea muda huo ukigika, kizazi chako chote kipotee na Tanzania hiyo unayoitaka.
Kutoka ukuwadi mpaka hapo alipo si haba 😄CCM na uchawa ni pipa na mfuniko leo hii Steve Mengere anaongea na Rais live.
Endeleeni kusubiri. Hata fisi bado anasubiri mkono wa binadamu uanguke! Ahahahahaha!!Ndy ishakuwa
Ova