Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Uzushi mtupu

Unasahau muasisi wa taifa Mwl Nyerere ndiye muasisi wa ccm

Short memories
Uzi umejieleza kwa mifano iliyoshiba. Endeleeni na hizo tabia za uchawa. Yakitimia tutakumbushana.
 
Naiangalia Zaire na Tanzania kwa jicho la michezo na burudani.
Mobotu aliwezesha Zaire kushiriki kombe la dunia ambapo iliacha sifa mbili kubwa
1.ilifungwa 9-0 n Yugoslavia( kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
2.ilitembea na kundi kubwa la wachawi ili kwenda kupiga ndumba katika michuano hiyo.
Mobutu kama aliyoandika mleta hoja, aliwakumbatia wanamuziki na kuwawezesha kufajya kazi zao huku webgi wakiwa nje ya nchi hasa Ufaransa.
Ndio Tanzania ya leo. Tuna magoli ya mama, tunajenga viwanja vikubwa vya michezo huku dawa na maji hakuna.
Tuna utitiri wa waaanii wanaonufaika na dola kwa kugharamiwa safari za nje nk huku tukiwaambia akina mama wakajifungulie majumbani huku wasanii wakitibiwa bure pale MNH.
"Tunaishi katika zama ambazo wajinga na wanafiki, ndio wenye maamuzi ya kesho yetu itakuwaje"
 
Endelea kuamini unavyoamini. Uzi umejieleza wapi. Kuna hadi link ya Congo ya Mobutu ilivyokuwa.

Kama huko Lumumba hawajakupa bando la kutosha waambie wakupe soma vizuri na angalia vizuri kila kitu.

Itakusaidia badae yakija kutimia.
Kwanza historia ya Mobutu hauijui vizuri ndio maana unaongea vitu visivyo nimekwambia Congo kinachosumbua Serikali ni Jeshi la M23 sio raia wa kawaida elewa ninaposema Jeshi na raia wa kawaida najua unajua kumtofautisha Mwanajeshi na Civilians kwa hio haikusumbui akili hapo, sasa njoo huku unaposema patakua km Congo kwa Jeshi lipi linaloweza kufanya hivyo? Mboni hio point unairuka na kuikimbia? Au wewe unafikiri M23 ni kikundi cha wacheza Vicoba, Upatu na Sacosi somewhere nchini Congo?
 
Nilidhani saving grace kwenye siasa za uchawa ni ubunifu wa kitanzania kumbe nayo tumecopy.
Silver lining iliyobaki ni hamna vyeo vya kutosha kutosheleza idadi ya machawa inayokua kila siku. It's an unsustainable system, ni suala la muda tu.
 
Sasaivi CCM ndo kisima cha wajinga na wehu wanaojifanya wajuaji na Wazalendo.
Kweli tupu na hayana logic Wala uwezo wa kufikiri sawa sawa..

Mfano Kuna mmoja nilimuuliza hivi.........
"" Kwanini CCM haitaki tume huru ya UCHAGUZI?? Kwanini CCM haitaki katiba mpyaa""

Jamaa akaanza ngonjera na akaenda out of point ilinishangaza Sanaa
 
Kwa uelewa wako kwa nini Rwanda wanahusishwa na huo mgogoro na sio Tanzania, Burundi, Angola?
Kwa uelewa wangu wa kawaida Rwanda inahusishwa na huo mgogoro kwa sababu kadhaa wa kadhaa ila moja wapo ni kwamba Kagame KP au PK analifadhiri hilo kundi la M23 kwa kuliunga mkono kwamba linachokifanya ni sahihi na hata video zipo zinazoonyesha akifanya hivyo waziwazi hata Felixè Tshekedè analijua hilo na ulimwengu wote unalielewa hilo halifichiki lipo wazi
 
Mkuu hata DRC haikuamka siku moja na kujikuta hapo. Think nje ya box
Tanzania HAITAKUWA kama Congo. Kama unaiombea Tanzania kufika huko nami nakuombea muda huo ukigika, kizazi chako chote kipotee na Tanzania hiyo unayoitaka.
 
Kwanza historia ya Mobutu hauijui vizuri ndio maana unaongea vitu visivyo nimekwambia Congo kinachosumbua Serikali ni Jeshi la M23 sio raia wa kawaida elewa ninaposema Jeshi na raia wa kawaida najua unajua kumtofautisha Mwanajeshi na Civilians kwa hio haikusumbui akili hapo, sasa njoo huku unaposema patakua km Congo kwa Jeshi lipi linaloweza kufanya hivyo? Mboni hio point unairuka na kuikimbia? Au wewe unafikiri M23 ni kikundi cha wacheza Vicoba, Upatu na Sacosi somewhere nchini Congo?
Huwezi kuelewa...we endelea kukata mauno cheza kadansee tu

Ova
 
Kwa uelewa wangu wa kawaida Rwanda inahusishwa na huo mgogoro kwa sababu kadhaa wa kadhaa ila moja wapo ni kwamba Kagame KP au PK analifadhiri hilo kundi la M23 kwa kuliunga mkono kwamba linachokifanya ni sahihi na hata video zipo zinazoonyesha akifanya hivyo waziwazi hata Felixè Tshekedè analijua hilo na ulimwengu wote unalielewa hilo halifichiki lipo wazi

Unafikiri kwa nini PK anawasapoti hao M23?
 
Media zote kutwa kuchwa mnawaonyesha wakina Mwijaku, jinsi wanavyopendeza,why vijana wasi-invest kwenye uchawa???
 
CCM na uchawa ni pipa na mfuniko leo hii Steve Mengere anaongea na Rais live.
 
Back
Top Bottom