KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Huo mutu banasema bukweli kabisa. Baelese basikie na baelewe.Baambie baelewe bandugu !
😳🙄😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mutu banasema bukweli kabisa. Baelese basikie na baelewe.Baambie baelewe bandugu !
😳🙄😱
Ahahahahaha! Wewe uko serious unayeifananisha Tanzania na eti Zaire ya Mobutu?Hahahaa......we jamaa unachekesha sana
Hakuna maono hapo wana Jeshi gani hao kanda ya Ziwa linaloweza kufanya km M23?
Sio kibess mkuu nimemwambia ukweli ulio wazi, Congo machafuko hayahusishi raia wa kawaida ni Jeshi lile hapo tu ndipo mleta mada alipokosea kwenye uwasilishaji wake sasa Jeshi na raia wa kawaida kuna utofauti ndio maana wale wanaoenda kusaidia kule ni Jeshi la Nchi za Jumuiya ya SADC sio raia wa kawaida wa Jumuiya ya SADC sababu wanaenda kulinda amani wale wanaojambisha kule ni Jeshi sio raia wa kawaida, sijui unaelewa hapo kabla hujasema km umekatolewa kichwa chakoMzeee naaona Leo unapata posho simba🦁
Si kwa hicho kibess ulicho mchimba JAMAA.
Mkuu yaan bado sana miaka 1000 kwa akili hizi basi CCM itawaongoza miaka 200,000 mbele hukoEeeh!
Nishakuambia Jeshi ni Watu
Labda ungeuliza kwa nini wajitenge au watake nchi kupasuka ndio lingekuwa swali la msingi.
Lakini kuhusu kuunda Jeshi sio hoja
Wako bukavu soon wataingia kwa wakata mauno na kujichubuaEeeh!
Nishakuambia Jeshi ni Watu
Labda ungeuliza kwa nini wajitenge au watake nchi kupasuka ndio lingekuwa swali la msingi.
Lakini kuhusu kuunda Jeshi sio hoja
Anawaunga Mkono M23 sababu ni Watu wa Jamii yake ni Watutsi wenzake na wanaongea Kitutsi hio ni hoja moja wapo ila mara nyinyi amekua akitetea kua sio watu wa Rwanda ni watu wa CongoUnafikiri kwa nini PK anawasapoti hao M23?
Chawa umeguswaWe kwl ni poyoyo, we unaumwa nenda katibiwe. Umejaza server ya JF na matope
Hivi kumbe wewe mpaka leo haujui kwamba Jeshi ni la CCM? Bado unaota mchana?Mzee Warioba hivi karibuni alionya kuwa taasisi pekee iliyobaki na heshima ambayo haijajichanganya na siasa za Ki- CCM ni JWTZ, alisema polisi na Tume ya Uchaguzi wanaifanyia kazi CCM. Hakuna aliyebisha wala kushituka. Mungu aturehemu.
Vv
Kuelewa nini? Unataka kusema wale M23 ni raia wa kawaida tu walioichoka Serikali na walioingia mstuni na kuanza kuleta fujo na machafuko kwa Serikali ya Congo sio watu wenye mafunzo ya kijeshi hata kidogo? Sasa km ndio hivyo mboni imekua vile wakati raia wa kawaida wasio na mafunzo ya kijeshi wakitumiwa Jeshi wanakamatwa km kuku wa kisasa alieshiba pumba zake na mashudu ndani ya banda?Huwezi kuelewa...we endelea kukata mauno cheza kadansee tu
Ova
Utamkumbusha nani mkuu wewe kula Mihogo yako hapo shushia na maji ya kandoro kisha endelea na shughuli zako zingine huna cha kuelezea chenye mashiko zaidi ya ndoto za mchanaEndeleza uchawa ndugu. Tutakumbushana
Wewe mtoto mdogo sana mada imekuzidi uwezo hii. Piga kimya tu acha kushupaza shingo.Kuelewa nini? Unataka kusema wale M23 ni raia wa kawaida tu walioichoka Serikali na walioingia mstuni na kuanza kuleta fujo na machafuko kwa Serikali ya Congo sio watu wenye mafunzo ya kijeshi hata kidogo? Sasa km ndio hivyo mboni imekua vile wakati raia wa kawaida wasio na mafunzo ya kijeshi wakitumiwa Jeshi wanakamatwa km kuku wa kisasa alieshiba pumba zake na mashudu ndani ya banda?
Achana nae huyu mtoto unajipotezea muda tu kumuelezea.Eeeh!
Nishakuambia Jeshi ni Watu
Labda ungeuliza kwa nini wajitenge au watake nchi kupasuka ndio lingekuwa swali la msingi.
Lakini kuhusu kuunda Jeshi sio hoja
Ndo mana hakuna kitu kama Watanzania wote tunapaswa kukipigania kwa umoja wetu na nguvu zote kama Katiba Mpya.Mzee Warioba hivi karibuni alionya kuwa taasisi pekee iliyobaki na heshima ambayo haijajichanganya na siasa za Ki- CCM ni JWTZ, alisema polisi na Tume ya Uchaguzi wanaifanyia kazi CCM. Hakuna aliyebisha wala kushituka. Mungu aturehemu.
Vv
Nakubaliana na wewe mkuu,lkn jaribu kuiangalia tz yetu kwaumakini imeshatoka nje ya hio misingi unayoizungumzia.. Nchi yetu imekuwa ya wachache wenye maamuzi ya wapi tuelekee hatakama tunapelekwa shimoni...Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...
Mkuu nikwambie kitu kidogo tu kwanza heshima haiuzwi popote heshima haimbwi na heshima hupewa mtu bure haina gharama yoyote naweza nikawa mtoto mdogo sana ila nikakuzidi maarifa hapo tu ndipo tunapotofautiana kwa kiasi chake na uzuri ni kwamba ninachokwambia unakielewa vizuri sana ila unakwepa kutoa jibu linaibeba hoja yako, nimekuuliza Jeshi la kuiondoa CCM linatoka wapi ambalo litaifanya Tanzania kua km Congo? Km huna jibu sema sina jibu sio unakuja na majibu ya utoto mdogo mtoto mdogo ninaekuuliza maswali yanayokuumiza kichwa hivi unafikiri historia ya Mobutu unaijua peke yako na hao wenye hio Documentary yao uchwara?Wewe mtoto mdogo sana mada imekuzidi uwezo hii. Piga kimya tu acha kushupaza shingo.