Wewe umeazisha uzi ukiwa na mawazo yako na mtazamo wako ambao unataka watu wakuunge mkono tu.
Hivi wewe wakuuliza Tanzania kuna vyama vingapi? Kweli kwamba hujui kama kuliwahi kuwa na NCCR ya moto? Vipi CUF? Hata hawa CHADEMA ni swala la mda tu, binadamu tumeumbwa na ubiafsi sana, kwahiyo usiwaamini kiasi hicho otherwise una maslahi ya moja kwa moja na hicho chama.
Na kitu kingine inatakiwa ujue kuwa vyama vya visits ni kikundi tu watu walio na angalau mtazamo sawa na malengo, mapinduzi ya kweli yatakuja na kuletwa na wananchi wenyewe na sio wanasiasa. Kwa kuwa wao ni rahisi kuzibitiwa.