Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Kinachotokea Congo ni matatizo yao wenyewe mengine ya miaka na mengine ya hivi karibuni sio tatizo aliloleta Mobutu kama mnavyodai hapa. Watutsi hawakupewa uraia tangu enzi za ukoloni wa Ubelgiji na (2) kosa la pili kwa Congo ni kutowatambua Watutsi kama jamii ya Kongo- linakuaje kosa la Mobutu peke yake? Kabila baada ya kuingia madarakani akakusanya vikundi vya waasi wakawaingiza kwenye jeshi la FARDC kitu ambacho kimefanya jeshi kuwa dhaifu linakuaje kosa la Mobutu? FARDC kutolipwa vizuri linakuaje kosa la Mobutu? M23 imeundwa mwaka 2009 hilo nalo liwe tatizo la Mobutu. Hamko siriasi, Tanzania hatuwezi kufikia huko pia muwe mnasoma historia na kuelewa muache kutuna tukana watu mitandaoni bila kuwa na maarifa.
This is a very weak argument yenye nia ya kuiitetea CCM(Chama Cha Majambazi)
 
Vijana tafuteni ajira mitandaoni humu hamtafaidika na chochote zaidi ya kuandika mambo ya kusadikika 💩💩...
Huo muda mnaopoteza kuiombea Tz mabaya watu wanafanya maisha na yakaenda vzuri tu... Wewe ni kizazi chako mtaishia kuwasema watu ambao walikuwa bize kujenga familia zao na nchi...
Ulivyo juha unafikiri kila anayepost nyuzi humu hana kazi sio?

Kwa taarifa yako naweza kuwa na kazi nzuri na kipato cha kukulisha wewe na ukoo wako mzima. Acha kuishi kwa kukariri dogo.

Pia unaonekana ni selfish sana unajiwaza wewe na familia yako tu! Na wstu wenye akili za namna yako ndo mmejazana huko CCM na sasa mnatuharibia hili taifa letu na vizazi vyake kwa kufanya mambo ya kipuuzi.
 
Tanzania kuwa kama congo? Hapana, isiwe hivyo, hatutaki waasi, kama ccm ni tatizo iondolewe kistaarabu tu kwenye sanduku la kura
 
Utasemaje vyama vya upinzani ni kama CCM? Kuna chama cha Upinzani kimewahi kuongoza Serikali nchi hii hadi unasema with confidence kuwa ni kama CCM?
Watu ni wale wale, labda kama unaongea chuki na sio uhalisia. Vyama vya siasa wamerugana kwa kung'ang'ania madaraka na vingine vimekufa kwasababu hiyo.
Kwahiyo hata wao wakiingia wanaweza kufanya afanyavyo ccm kama hatuta badilika.
 
Tanzania tuna vyama vingapi vya siasa? Tuchukulie mfano Chadema tu?

Mbona juzi tu wamefanya uchaguzi bora kabisa kuwahi kutokea hapa chini na kila mtu kaupenda uchaguzi wao?

Mbona wameonesha kwa kwa namna gani wana demokrasia makini kabisa?

Nikikuuliza utoe mfano wa kung'ang'ania madaraka ndani ya Chadema unaweza kunipa?
 
Tanzania kuwa kama congo? Hapana, isiwe hivyo, hatutaki waasi, kama ccm ni tatizo iondolewe kistaarabu tu kwenye sanduku la kura
Unawezaje kuiondoa CCM kupitia sanduku kupitia Katiba hii inayowapa nguvu ya ku control kila kitu.

Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Ni suala la muda tu kwa sababu alivyoifanya Mobutu Congo ndivyo wanavyoifanya Tanzania sasaivi CCM.

Kama matokeo ya alichokifanya Mobutu Congo ndo Congo hii tunayoiona leo basi bila shaka wakati utafika Tanzania itakuwa kama Congo tu tunayoionq leo.

Kama hazitachukuliwa hatua haraka! Kalaghabao!!
 
Maujinga aliyoyafanya Mobutu seseko wa DRC ni machache kuliko maunjinga yanayofanyika chini ya awamu ya sita ya Tanzania
 
Na mbaya zaidi aliyofanya Mobutu hadi kuifanya Congo kufikia hapa ilipofikia leo ndo wanayafanya CCM kwa Taifa letu.

We are truly fucked up!
 
Ulivyo juha unafikiri kila anayepost nyuzi humu hana kazi sio?

Kwa taarifa yako naweza kuwa na kazi nzuri na kipato cha kukulisha wewe na ukoo wako mzima. Acha kuishi kwa kukariri dogo.

Pia unaonekana ni selfish sana unajiwaza wewe na familia yako tu! Na wstu wenye akili za namna yako ndo mmejazana huko CCM na sasa mnatuharibia hili taifa letu na vizazi vyake kwa kufanya mambo ya kipuuzi.
Jobless unatokwa na mapovu, huu muda ungeutumia kutafuta kibarua upate hata hela ya kula... Uzembe wako na familia yako kushindwa kujiimarisha kiuchumi usitafute watu wa kuwalaumu...
Tangu uanze kubwabwaja umefaidika nini sasa? Eti una kazi nzuri ipi hiyo ya kuuza matrako labda
 
Wewe jua tu nina kazi ya maana na kipato cha uhakika kuweza kuwalisha wewe na ukoo wako mzima.

Uzalendo wangu kwa nchi yangu ndo unaonifanya niwaelemishe Watanzania wenzangu ili kuwaokoa na madhira ya baadae.
 
Tanzania tuna vyama vingapi vya siasa? Tuchukulie mfano Chadema tu?

Mbona juzi tu wamefanya uchaguzi bora kabisa kuwahi kutokea hapa chini na kila mtu kaupenda uchaguzi wao?

Mbona wameonesha kwa kwa namna gani wana demokrasia makini kabisa?

Nikikuuliza utoe mfano wa kung'ang'ania madaraka ndani ya Chadema unaweza kunipa?
Wewe umeazisha uzi ukiwa na mawazo yako na mtazamo wako ambao unataka watu wakuunge mkono tu.
Hivi wewe wakuuliza Tanzania kuna vyama vingapi? Kweli kwamba hujui kama kuliwahi kuwa na NCCR ya moto? Vipi CUF? Hata hawa CHADEMA ni swala la mda tu, binadamu tumeumbwa na ubiafsi sana, kwahiyo usiwaamini kiasi hicho otherwise una maslahi ya moja kwa moja na hicho chama.
Na kitu kingine inatakiwa ujue kuwa vyama vya visits ni kikundi tu watu walio na angalau mtazamo sawa na malengo, mapinduzi ya kweli yatakuja na kuletwa na wananchi wenyewe na sio wanasiasa. Kwa kuwa wao ni rahisi kuzibitiwa.
 
Maoni yako yanaonesha u mtu wa namna gani? Wewe ni CCM ambao kazi kubwa mnayofanya ni kuwajaza wananchi uoga na kuwapumbaza kwa uongo ili muendelee kuwatawala kwa udhalimu.

Wananchi ili walete mabadiliko ni lazima waelimishwe ipasavyo na wajue kwa hakika kipi ni kipi. Na hili ndilo ninalolifanya mimi.

Wananchi wasipoamshwa na kuelimishwa ipasavyo, huu ugonjwa wanaoueneza CCM utaliangamizq kabisavtaifa na kutufanya kuwa kama Congo.
 
Kama hutaki kukosolewa na kupokea mawazo mbadala basi na wewe ni kama hao unao walalamikia maana wanaona wao ndio wako sahihi, hata wewe hapa unataka watu waunge tu mkono hoja yako bila ya kuwa na mawazo mdala.
 
Unachofanya sio kukosoa. Ni kujaribu kueneza propaganda mfu zenu CCM mnazozitumia kila siku kuwahadaa Watanzania ili muendelee kuwaibia.
 
Cult of personality tutafikia tu kama Zaire ya Mobutu.

Tutabakia kuwa Taifa la Machawa wa Mama.
 
Naitwa Mkunazi Njiwa kaka.....

Mikunazi si nazi mkuu....

Nikuwahi kukuelewesha kuwa mapinduzi ya kijeshi huwa hayafanywi na jeshi lote.....kwani mkuu wa majeshi ndiye anayeondolewa kwa nguvu na wanajeshi wachache waasi WALIOJIPANGA VYEMA....

Mobutu Sese Seko alikuwa ni mwanajeshi mwasi aliyeimpindua AMIRI JESHI WAKE MKUU...

Serikali ya CCM haikuwahi kushika awamu za utawala kupitia mapinduzi ya kijeshi ya wanajeshi WAASI kama KUKU NG'BENDU WA ZABANGA.....

#JMT kwanza kwa njia yoyote iwayo!

Mapinduzi ya Kijeshi yapo ya aina mbalimbali katika dunia hii ya Sasa.
Hata kile Kitendo cha Mkuu wa Tume ya Uchaguzi kule Zanzibar (ZEC) Bw. Jecha kufuta Mchakato wote kabisa wa Uchaguzi kule Zanzibar Mwaka ule wa 2015 pia yalikuwa ni Mapinduzi ya Kijeshi.
Ndio maana unaona kwamba Wakati Jecha alipokuwa akitoa lile Tangazo lake la Kufuta Matokeo yote kabisa ya Uchaguzi huo kamwe hakuwahi Kunukuu Kifungu Chochote kile Cha Katiba ya Nchi au Kifungu chochote kile Cha Sheria za Nchi ambavyo vilikuwa vinampa yeye Mamlaka ya kufuta Uchaguzi huo. It was a Military Coup.
Get informed.
 
Back
Top Bottom