Je Kuna KITI Cha enzi Mbinguni?Mbona huko kote unajibu lakini unakimbia kujibu hivi sasa unakuja na mada ya hapo juu ?? au huyo ndiye kaandika Mwanzo na Isaya ??
Je Kuna KITI Cha enzi Mbinguni?
Aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni ana mwonekano mfano wa mwanadamu?
(Ufunuo 1:13-14)
Inasema jambo Hilo Hilo.
Sasa uone, Mwanzo, Isaya, Ufunuo, Daniel vitabu vyote vinaongelea mwonekano wa Mungu aliye mfano wa mwanadamu.
Narudia mfano.
Haisemi ni mwanadamu, Bali mfano!!
Huyo Mungu aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika KITI Cha enzi, Mbinguni, Mungu Mmoja, ni nani huyo?
Karibu.
Jikite kwenye mada 🙏Hujajibu nani kaandika Mwanzo na nani kaandika Isaya na sasa umeongeza na uFUNUO , nANI KAANDIKA ??
USIKIMBIE KWANI UMETULETEA WEWE , USILETE VISINGIZIO VYA MADA JIBU AU SEMA SIJUI , HAPA TUPO KUFAHAMISHANA
Jikite kwenye mada 🙏
Haya maswali yako hakuna mkristo anaye weza kukupa majibu sahihi kwa sababu injili wanayo fuata ni potovu ..ila mimi ninayo majibu sahihi kuhusu yesu kuwa mungu ni kweli yesu ni Mungu asilimia 100 siku nikiamua kuwaletea injili ya kweli wote waislamu na wakristo mtaishangaa siyo kwa kuipuuza bali kwa kuiogopa na kustaajabu siyo hii injili ya shetani mwenye nafsi 3 itokayo kwenye mahekalu ya shetani yanayo itwa madhehebu. Waislamu na waktisto amjui kitu chochote ni kelele tu hakuna muislamu au mkristo anaye weza kunipa jibu kwanini ni vigumu mungu kuonekana ? Bali wana sema tu mungu haonekani kuna kuna sababu kuu sana ni kwanini mungu ni vigumu kuonekana pure alivyo bali anaweza kuonekana kwa namna ya fumbo tu kama ilivyo kwa kristo....swali msilo lijua na msilo jiuliza ni ili NINI MAANA YA KUMWONA MUNGU ? HAPA KWENYE ILI SWALI NDIYO PALIPO NA SABABU KWANINI MUNGU KAWA VIGUMU KUJIONYESA KIKAMILIFU .....KUMUONA MUNGU NI KUONA MAMBO MAKUU MNO TENA KUONA YOTE NA KUJUA YOTE NA KUFAHAMU YOTE KATIKA YOTE TATIZO LIPO HAPOMakobazi umeyanyakuwa wewe mbona huelewi ??
Ongeza na hii
YESU (SAW) ALIMUOMBA MUNGU, JE, MUNGU ANAJIOMBEA MWENYEWE?
• Yesu aliomba - “Asubuhi na mapema, kukiwa bado na giza, Yesu aliamka, akatoka nyumbani, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akasali. [Marko 1:35]
"Lakini mara nyingi Yesu aliondoka kwenda mahali pasipokuwa na watu na kusali." [Luka 5:16]
• Yesu aliombea wanafunzi wake na waamini wote -“Baba Mtakatifu (MUNGU), uwalinde kwa nguvu ya jina lako—jina ulilonionyesha—ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja” [Yohana 17:11]. ].
• Yesu aliomba kwa sifa kwa Mungu, Baba – “Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na hekima. kujifunza, na kuwafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )
• Yesu aliomba kwa mkao na kwa mtazamo wa kunyenyekea kwa uchaji – “Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe” (Mathayo 26:39).
• Yesu aliomba katika nyakati za uchungu – “Naye, akiwa katika dhiki, akazidi kuomba kwa bidii, na jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka chini. [Luka 22:44]
YESU (SAW) ANA MUNGU, KWA HIYO SI MUNGU!
“Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu.” [Yohana 20:17]
“Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo…” (1 Petro 1:3)
“Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na elimu, ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )
Yesu (AS) alisema, “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]
"Yesu akawajibu, akasema, Mafundisho yangu si yangu, bali ni yake yeye aliyenipeleka." [Yohana 7:16]
Uko sahihi...Yesu Kristu, ndio maana kuna wakati tunamuita Mungu.
" Nakwenda kwa baba kuwaandalia makao, ili nilipo mimi, nanyi muwepo".
" Huyu ndie mwanangu mpendwa niliyependezwa nae, msikilizeni yeye"
Ukisoma vizuri hapo juu utaona alikaimishwa majukumu, tukimsikiliza yeye ni sawa na kumsikiliza Mungu.
Haya maswali yako hakuna mkristo anaye weza kukupa majibu sahihi kwa sababu injili wanayo fuata ni potovu ..ila mimi ninayo majibu sahihi kuhusu yesu kuwa mungu ni kweli yesu ni Mungu asilimia 100 siku nikiamua kuwaletea injili ya kweli wote waislamu na wakristo mtaishangaa siyo kwa kuipuuza bali kwa kuiogopa na kustaajabu siyo hii injili ya shetani mwenye nafsi 3 itokayo kwenye mahekalu ya shetani yanayo itwa madhehebu. Waislamu na waktisto amjui kitu chochote ni kelele tu hakuna muislamu au mkristo anaye weza kunipa jibu kwanini ni vigumu mungu kuonekana ? Bali wana sema tu mungu haonekani kuna kuna sababu kuu sana ni kwanini mungu ni vigumu kuonekana pure alivyo bali anaweza kuonekana kwa namna ya fumbo tu kama ilivyo kwa kristo....swali msilo lijua na msilo jiuliza ni ili NINI MAANA YA KUMWONA MUNGU ? HAPA KWENYE ILI SWALI NDIYO PALIPO NA SABABU KWANINI MUNGU KAWA VIGUMU KUJIONYESA KIKAMILIFU .....KUMUONA MUNGU NI KUONA MAMBO MAKUU MNO TENA KUONA YOTE NA KUJUA YOTE NA KUFAHAMU YOTE KATIKA YOTE TATIZO LIPO HAPO
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .Hiyo injili yako inaitwa injili according to Lwiva?
Tuwekee hiyo Aya Aya Yesu amejitangaza kuwa yeye ni Mungu na Aya inayosema tumwabudu yeye
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. AmenMungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .
UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii
UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .
UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii
UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .
UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii
UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli
Nikikuambia ni kwanini yesu aliuliwa kuwa sadaka wewe utagundua kwanini mudi alikanusha kifo cha yesu ..kabla ujapinga kuwa yesu aliuliwa basi tafuta sababu ya kweli ni kwanini yesu aliuliwa na ilitakiwa auliwe ...yesu alikuja duniani kujitoa sadaka .. sasa jiulize kwa nini ....pia wewe unashangaa nini nafsi isiyo ya binadamu kuwa ndani ya mwili wa binadamu ? Kajifunze hata majini yanafanya hivyo.HAWAKUMUUA
Ukitaka hakika ni kweli kuwa mtu ye yote anayesoma hizi hizi Injili ziliomo katika Biblia kwa uangalifu ataona ushahidi wa nguvu kuwa huyo aliyetundikwa msalabani hakufa hapo msalabani, bali alionekana tu kama amekufa.
Katika Injili hizo hizo upo ushahidi mzito wa kuonyesha kuwa yamkini sana kuwa huyo aliyetundikwa msalabani hakuwa Yesu Kristo kabisa, juu ya kuwa waandishi wa Injili walikuwa wakiamini kuwa ndiye Yesu.
Hebu natuuchungue ushahidi huo.
Ni wazi kuwa Yesu wakati ule hakuwa mtu maarufu katika mji wa Yerusalemu.
Alikuwa ni mgeni kwa wale waliokuwa wakimsaka. Yeye alikuwa mshamba, ametoka huko Galilaya.
Tangu kuanza kuhubiri ni kiasi ya miaka miwili mitatu tu, naye akitanga tanga huku na huku bila ya kutulia, hata hakuwa na pahala pa kuweka kichwa chini. (Mathayo 8.20).
Mnamo wakati huo hakupata kwenda Yerusalemu isipokuwa mara chache tu.
Marko anasema alikwenda mara moja, na Yohana anasema mara nne. Jinsi ya kuwa hajuulikani vyema hata ikalazimu Yuda amtambulishe kwa kumbusu; alisema: "Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni." (Mathayo 26.48).
The Interpreter's Bible kutafuta kijisibabu kwa huko kumuashiria kwa kumbusa inasema: "Yesu angejulikana bila ya ishara, lakini wale waliokuja kumkamata hawakutaka kubahatisha kwa sababu makosa yaweza kutendeka kwa wepesi wakati wa usiku, na hasa pangetokea pata-shika."
Vyo vyote vile iwavyo, ikiwa ni kwa ugeni, ikiwa ni kwa giza la usiku, au ikiwa kwa ghasia na fujo lililokuwapo, ni jambo lilioelekea sana kumkosea Yesu akakamatwa mtu mwingine.
Wafuasi wake wote walimkataa, hata Petro naye ambaye alikuwa karibu mno na Yesu katika wanafunzi wake wote, naye pia alisema: "Simjui mtu huyu". (Mathayo 26.74).
Basi je, tuukatae na kuutenga kando ushahidi wa wanafunzi wake wote wanaoitwa Watakatifu tuukubali wa haini, msaliti mmoja, Yuda?
Tena hata yeye hakuutoa ushahidi wake mahakamani, baada ya kuapishwa, bali huko huko kwenye vurugu kizani, tena ni kwa ishara tu ya kumbusu, ambayo tunaambiwa na waandikaji kwamba walikubaliana baina yake Yuda na askari wa Kirumi faraghani, ambako bila ya shaka yo yote hao waandikaji au waliowasimulia hawakuwapo.
Hayo ni mambo ya dhana tu.
Kuambiwa tena kuwa hayo nayo yalikuwa ni kutimiza bishara za Agano la Kale, au zake mwenyewe Yesu, ni hadi ya kuilazimisha imani ikubali lisilokubaliwa na akili.
Tena hebu tuzichungue jawabu alizozitoa mshtakiwa huko mahkamani. Hadi yake tunaweza kusema kuwa hizo jawabu ni za ubabaishi. Injili tatu za mwanzo, nazo ndizo zenye kueleza maisha ya Yesu, zimeshindwa kutoa ushahidi hata mmoja kuthibitisha kuwa ni nani khasa huyo mshtakiwa. Injili ya Luka inasimulia kuwa alipoulizwa barazani:
"Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie."
Akawaambia: "Nijapowaambia, hamtasadiki kabisa."
Na alipoambiwa: "Basi wewe ndiwe Mwana wa Mungu?"
Akawaambia: "Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye."
Maana ya kauli hiyo sio maana yake kukubali yasemwayo, bali ni kukanya na kumsukumia jukumu yule amuulizae na kumtuhumu kwa hayo - yeye hakimu pamoja na wote waliozua hayo mashtaka. Na vyo vyote alisemalo hasadikiwi, kwani waliomkamata wamesha kata shauri kuwa yeye ndiye Yesu Kristo, na hali siye. Basi hapana haja ya kusema lo lote.
Katika Injili ya Marko tunasoma: Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?
Akajibu, akamwambia: "Wewe wasema." Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi. Pilato akamwuliza tena akisema:
"Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!" Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.
Kama alivyojibu kuwa yeye si Mfalme wa Wayahudi, hali kadhaalika si Mwana wa Mungu, wala si Kristo. Kwa suala zote tatu hizo mshtakiwa anasema kuwa hayo wanayasema wale wanaomshtaki, si yeye.
Kadhaalika Injili ya Mathayo inatwambia: Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamwuliza, akasema,"Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?"
Yesu akamwambia: "Wewe wasema."
Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. Ndipo Pilato akamwambia: "Husikii ni mambo mangapi wanayokushuhudia?" asimjibu hata neno moja, hata liwali akastaajabu sana. Na sote lazima tustaajabu. Ikiwa yeye ni Yesu, Kristo, Mwana wa Mungu, kama ilivyodaiwa kuwa anadai, kwa nini hakubali? Hapo mahkamani sipo khasa pa kueneza ujumbe wake?
Zingatia vyema kuwa hadithi hizi ziliandikwa miaka mingi baada ya kutokea hayo mambo, tena zimeandikwa na watu wenye kuamini kabisa kuwa huyo aliyekamatwa na kusalibiwa ni kweli Yesu Kristo, mwana wa Maryam.
Juu ya hivyo hata wao hawakuweza kuleta ushahidi wo wote wa kweli au wa kubuni usipokuwa ule wa Yuda, msaliti. Huyo mshtakiwa hakukiri hata mara moja kuwa yeye ndiye Yesu anayetuhumiwa. Na wanafunzi wake nao hawakumtambua wala hawakukiri kuwa wao wanamjua, bali walikataa kwa nguvu, na wakamkimbia.
Tukizingatia haya kwa usafi wa nia na kwa kutumia akili zetu bila ya kugubikwa na mawazo na imani tulizozoeshwa tangu utotoni, na pia tukatia maanani yale tuliyokwisha yasimulia yaliyomo katika Injili nyenginezo zisiokubaliwa na Kanisa, pamoja na nyaraka za kale zilizogundulikana karibuni zinazotufahamisha nini ilikuwa imani ya Wakristo wa asli ya kwamba Yesu hakufa msalabani, ukweli wa Qur'ani unathibiti kwa uwazi kabisa:
Na kwa kusema kwao (Mayahudi): Sisi tumemuua Masihi Isa mwana wa Maryam, Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala hawkumuua wala hakumsalibu, bali walifananishiwa. Na kwa hakika wale waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi juu yake, isipokuwa wanafuata dhana tu. Na hawakumuua kwa yakini.
(Qur'ani) An Nisaa 4.157
Wataalamu wa Biblia wa nchi za magharibi wa sasa baada ya uchunguzi wanakubali ukweli huu wa Qur'ani.
Na Qur'ani iliteremshwa kwa mtu asiyejua kusoma wala kuandika zaidi ya miaka elfu moja na mia nne iliyopita.
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .
UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii
UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli
Nikikuambia ni kwanini yesu aliuliwa kuwa sadaka wewe utagundua kwanini mudi alikanusha kifo cha yesu ..kabla ujapinga kuwa yesu aliuliwa basi tafuta sababu ya kweli ni kwanini yesu aliuliwa na ilitakiwa auliwe ...yesu alikuja duniani kujitoa sadaka .. sasa jiulize kwa nini ....pia wewe unashangaa nini nafsi isiyo ya binadamu kuwa ndani ya mwili wa binadamu ? Kajifunze hata majini yanafanya hivyo
Mbona kwenye biblia kila kitu kipo wazi yesu mwenyewe anasema kuwa imempasa kuuliwa na siku ya 3 kufufuka ...wewe unasoma biblia gani ?Mbona unaropoka tu bila ushahidi wa Biblia ??
Msingi wa Ukristo ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo mnadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.
A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).
Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.
B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).
Qur'an Tukufu inapinga dhana hii na inatuelekeza kwenye ukweli wa jambo. Mwenyezi Mungu anasema kwamba: “Na kusema kwao: Hakika tumemuuwa Masihi Isa Mwana wa Mariamu, Mtume wa Mungu, Hali hawakumuuwa wala hawakumfisha msalabani, bali alifananishwa kwao (kama maiti). Na kwa hakika wale waliohitilafiana kwalo, Yakini wana shaka nalo, wao hawalijui hakika yake isipokuwa wanafuata dhana. Na kwa yakini wao hawakumuuwa. (Qur'an 4:158).
Baada ya kupata hakika ya hali katika Qur'an Tukufu, wakati tunasoma Biblia tunaona kwamba Biblia
pia inasadikisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani. Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani kabisa.
1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.
Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachaguliwa na kubarikiwa.
Kwa hiyo haiwezekani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
M
Mbona kwenye biblia kila kitu kipo wazi yesu mwenyewe anasema kuwa imempasa kuuliwa na siku ya 3 kufufuka ...wewe unasoma biblia gani ?
Luke 9:22Unaweza kuniwekea hiyo aya ambayo Bwana Yesu alisema hivyo ??
M
Mbona kwenye biblia kila kitu kipo wazi yesu mwenyewe anasema kuwa imempasa kuuliwa na siku ya 3 kufufuka ...wewe unasoma biblia gani ?