DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kumbukumbu la Torati 33:26"Na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.." huyu aliyesema haya maneno ni Mungu
Ni kitabu Cha mwanzo chapter 1."Na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.." huyu aliyesema haya maneno ni Mungu
Acha ujeuri , tuliza boli uwanja ni mpana ,kondoo wa yesu unatakiwa uwe na busara kama yesu.Acha blah blah dogo. Sasa ndio umeandika nini? Unanipotezea muda tu we tapeli. Byeeeeeeeee
Una mbwembwe nyingi ajabu hujui hata unachopinga, waache wana theolojia wapinge kivyao, tuambie wewe una nini kichwani kuhusu hicho unachopinga.Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..
Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
Kwahiyo kumbe Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake🤔Mathayo 6:9
Basi, salini hivi: “‘Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.
Mungu ana makao. Makao yake Yako mbinguni.
Ila huyo mfano wa mwanadamu ni Yesu Kristo.
Mtu huyo ni wewe apoSalaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo? Je Mungu ana mfano wa mwanadamu?
Karibuni 🙏
Nimrshajibu nafikiri fuatilia Kuanzia Nyuma utaona nafikiri Tujifunze Kuchangia Mada Bila mihemko wala MakasirikoUna mbwembwe nyingi ajabu hujui hata unachopinga, waache wana theolojia wapinge kivyao, tuambie wewe una nini kichwani kuhusu hicho unachopinga.
Mungu alimuumba mtu kwa Sura na mfano wake, Tuna sura na mfano wa Mungu!! Yeye ni Roho lakini ana Sura na anaketi kwenye kiti cha EnziSalaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo? Je Mungu ana mfano wa mwanadamu?
Karibuni 🙏
Unataka tubishane ikiwa siijui imani yako, kwangu ndio ni Mungu.Kwahiyo Yesu ni Mungu?
Allah Yuko kule chini!!Kuna mtu atakuja kusema ni Allah nadhani atakuwa ametuchafulia uzi
Tapeli tu huyo. Huwa anajifanyaga msomi na anajua dini na theology kuliko wote humu JF. Anajifanyaga eti amesoma uchungaji na alikuwa mchungaji wa Kisabato kule kanda ya ziwa. Akaacha Uchungaji, akaenda kuwa shehe then amesoma dini mbalimbali ikiwemo dini ya kiyahudi kumbe maamuma tu. Hana ajuacho, anatapeli tu humu JF na uganga wake.Una mbwembwe nyingi ajabu hujui hata unachopinga, waache wana theolojia wapinge kivyao, tuambie wewe una nini kichwani kuhusu hicho unachopinga.
Hilo jibu lako ndio hilo? tuambie mashaka gani hayo? bado unakimbia kimbia tu ajabu ukiambiwa una mbwembwe unaita makasiriko, hujiamini unalazimisha uonekane unapinga to for fun without any significant proof.Hiyo Hadithi ya Paulo ina mashaka sana Na nahisi bora usingeiweka
😁😁😁 Wakristo wa kiarabu huko Lebanon wao humwitaje huyo Mungu?Allah Yuko kule chini!!
Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..Msamehe huyo ndugu,
Japo ni UKWELI usiopingika kuwa kujadiliana na watu aina Yako, kama hujala ukashiba, na ukawa na uvumilivu, tofauti ni LAZIMA,
Utakumbuka, Mimi pia katika minadala mingi nawe, tumewahi kukwaruzana😀
WapiAllah Yuko kule chini!!
Jana nilikutana na pastor mmoja aliyeniambia kuwa,Unataka tubishane ikiwa siijui imani yako, kwangu ndio ni Mungu.
Ukipenda andamana upinge.
Sasa ndugu umeamua kunisingizia nimeleta watu humu kukushambulia?Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..
Mijadala mingi mimi na wewe tumewahi kukwaruzana lakini tunakwaruzana kisomi zaidi sio kipumbavu...
Na ndo maana Huwa napenda Sana mijadala yako kwa sababu licha ya Kupata Kitu naimani na wewe huwa unapata kiti kutoka kwangu..
Nani mjinga wewe. Mi nilikuwa naendelea na min -me then wewe from nowhere unakuja niandikia shit na kwa dharau. Jitahidi usiwe unawadharau wengine na jitahidi uwe unajifunza kwa wengine. Acha dharau we dogo. JF sio ya mama yako.Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..
Mijadala mingi mimi na wewe tumewahi kukwaruzana lakini tunakwaruzana kisomi zaidi sio kipumbavu...
Na ndo maana Huwa napenda Sana mijadala yako kwa sababu licha ya Kupata Kitu naimani na wewe huwa unapata kiti kutoka kwangu..
Shetani alisilimishwa na mtume na wako wote pamoja huko chini. Nadhani umeshapajua.Wapi