Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Kale Ugali wa Dona Ulale
 
mkuu kwani vita vimeshaanza au ni vitisho tuu?
 
(✔💪Russia and no goal)
 
Mrusi ataghairi, kilichopo ni kwamba anafanya Ukraine iwe battle ground.

Ndio mana anawaambia wa Ukraine wakae mbali hiyo vita Mrusi ameanzisha makusudi Ukraine ni chambo tu.

Nchi zote za Ulaya zina malalamiko kuhusu kuwaingilia kijasusi, kwa U-boat na ndege zake.

Kashavuruga sana huko ndo mana hawamtaki NATO wala EU.
Atapigwa vizuri tu, na watamrudisha mpaka Moscow na watampangia cha kufanya.

Europa nzima wako na Marekani,na UK.
 
mkuu kwani vita vimeshaanza au ni vitisho tuu?
Mtabe (Putin) said...For us it is not only a threat to our interests but to the very existence of our state & to its sovereignty...Huyu mdingi hashikiki..ameshakiwasha !!
 

Attachments

  • #UPDATES:_Takriban_Raia_10_na_Wanajeshi_40_wa_#Ukraine_wameripotiwa_kuuawa_katika_mashambulizi...mp4
    217.9 KB
Inaonokana umazaliwa miaka ya tisini,huijui vzuri background ya Russia Na upande wa marekani Na nchi za ulaya
 
Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidibYa Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira,Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
sasa kama target yake ni USA je! Rusia ana jeuri ya kumpiga super power?
 

Gambling mentality iliyowaingia wabongo!!
 
hakuna vita wakati ukraine imeshapigwa sana na airbus 11 zimesharipuliw
 
Save hiyo hela maana vitu vitapanda sana yaani kila kitu

Huku tayari joto tunaliona ila tunashukuru Mungu tunamudu ila huko nyumbani ndio mjiandae haswa

Vita sio ya kufurahia hakuna anaependa mfuko uwe tupu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…