raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifanyie wepesi wa namba zao au offce zao kwa hapa daslama zipo wapi? Ahsante![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Ni sikunngapi had kufika?Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Mkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
Sijawahi kulitumia nilionaga tu tangazo lao kama hiviNi sikunngapi had kufika?
Yea nhe mkuu,504GR loooooo umenikumbusha mbali sana,mother city hadi Dar na moto wake, ndani abiria 6 na mizigo kibao!!!Zamani watu tulitoka huko na Peugeot
505 mpk dar vzr kabisa unaingilia Malawi,mbeya dar
Basi hiyo kwanini isifike
Ova
Kuondokea Athlone au Woodstock pale Home finder!!!hahahaha unanikumbusha Pegeot 504...aka jeans from cape town to Migomigo Dsm.
La Mwigulu hilo![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,Kwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Kama Mtanzania, asipomeza P2 mjiandae kulea.Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
Wanaoenda Malawi watawashushia uyole waunge na jingine au inakuaje![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
[emoji1489]Interior seats [emoji575]
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
[emoji1489]Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: [emoji1485] South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Mleta maada kachanganya mambo,huwezi kupita malawi na zambia kwa wakati mmoja au Mozambique na zambia kwa wakati mmoja,labda basi liwe linabadilisha route,tem hii linapita Malawi via Mozambique au Zambia Via ZimbabweKwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Wala sio wa kwanza maana walikuwepo wengi wao wamesepa eng Royal Luxury![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Twende aunty yangu tukatoe tongo tongoNi sikunngapi had kufika?
Lazima apite Msumbiji,kule mwisho karibu na Zimbabwe Kuna sehemu ya Msumbiji imeingia ndaniKwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti