Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Nifanyie wepesi wa namba zao au offce zao kwa hapa daslama zipo wapi? Ahsante
 


hahahaha unanikumbusha Pegeot 504...aka jeans from cape town to Migomigo Dsm.
 
La Mwigulu hilo
 
Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,
 
Wanaoenda Malawi watawashushia uyole waunge na jingine au inakuaje
 
Mleta maada kachanganya mambo,huwezi kupita malawi na zambia kwa wakati mmoja au Mozambique na zambia kwa wakati mmoja,labda basi liwe linabadilisha route,tem hii linapita Malawi via Mozambique au Zambia Via Zimbabwe
 
Wala sio wa kwanza maana walikuwepo wengi wao wamesepa eng Royal Luxury
 
Lazima apite Msumbiji,kule mwisho karibu na Zimbabwe Kuna sehemu ya Msumbiji imeingia ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…