Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

Kuanzia leo nitaenda K,koo na Mwendokasi ila nitarudi na Bajaj.
Sio kwa mateso ya leo. Nimeingia stand saa 11 jioni ila nimepanda gari saa moja tena kwa kurukia gari kama chui anaemdaka nyumbu
Aisee ivi kumbe na nyie wa kariakoo ni mateso mimi nilijua ni sisi wa posta tu
 
Population kubwa nayo tatizo kwenye nchi yenye uwezo mdogo wa teknolojia.
Population ipi sasa mtumish gari za mwendokas zinazofanya kazi hazifika hata kumi

Zingine zote zimepaki tu
 
Niliona abiria wanapigwa makofi kimara na walinzi eti hawajaunga foleni...kwakweli Daslamu kinachowaeka mjini ni mdomoo tu. Wananchi wa huko makondoo we wadinye unavyotaka sawa tu
 
Mungu amesikia kilio chenu atakifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…